The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,333
- 4,152
- Thread starter
- #121
Sawa kakaNimekusoma
Sawa kakaNimekusoma
Sawa kakaUtoto ni raha sana, mbona ni rahisi sana kuepukana naye ni kitendo tu cha kupunguza mawasiliano mdogomdogo.
Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.
Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Mamkubwa shikamooUsilitaje bure jina la bibi.
Kaka mwenyewe unajua men huwa hatuna story ndefu eti tukae tuchat tu tofaut na hawa wenzetu.Ulitaka mtu wa kuchat tu, kwanini usingetafuta mwanaume, kwa nini uliangalia wenye sura nzuri, kwa nini ulihisi umeingia cha kike baada ya kukutana naye? Nia ilikuwa ni kuchat tu?
Katika hali kama hiyo wewe unaweza kuchomoka people eight???Watoto wa kike wana mioyo ya huruma, ulipokosea ni kujaribu kuchezea hisia zake...
Punguza mawasiliano
Mahusiano hianzia hivohivo kawaida kawaida mara utani utani utani aaahhhh! Mkule tu si kajiletaaaaa
Tulishazinguana baada ya kumchana ukwweli huu ni mwezi wa 6 sasa, na hajawahi nitafuta wala mie kumtafuta ,juzi Niko mishe mishe nakutana nae Yuko na jamaa mwingine akanipa hi akasepaWewe makali-0 kweli, sasa mtu humpendi kwa nini uendekeze mazoea ya kijinga hivyo? Au unamtaka? Shame!
Hahah!!!
Kipa kashatoka golini halafu jamaa anataka kupaisha...
Afu mnajishauwaga hivohivo badae unajilizaa hupati majibu! UnaEti ni rafiki tu....ni rafiki mamako huyo????
Ulisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?Nilitaka nikusihii soma kwa bidii ,nikakumbuka nilisoma sana now nasugua gaga, anyway fata kile roho inapenda kama anatafuna boom lako nawewe mtafune tu.
Ila kama humpendi kutoka moyoni piga chini halafu upunguze mazoea ,ikibidi utafute mtoto mkalii utoke nae, hii itakusaidia kumpotezea usikae single
Karibu Coict nduguUlisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?
Hongera kaka, ila kama ni masuala ya computer si unaweza hata kujiajiri? Mbona bando unapata la kuingia JF? Si umejiajiri kwenye computer? Anayetakiwa kulalamika ni yule aliyesoma kozi ambazo si rahisi kujiajiri.Karibu Coict ndugu View attachment 1995938
Karibu.Hongera kaka, ila kama ni masuala ya computer si unaweza hata kujiajiri? Mbona bando unapata la kuingia JF? Si umejiajiri kwenye computer? Anayetakiwa kulalamika ni yule aliyesoma kozi ambazo si rahisi kujiajiri.
Ahahahhahaa Mkulungwa on flickUlisoma CeET(ipo UDSM) mkuu? Au ni mwana art mwenzangu?