Hamna rangi ataacha kuona ehhhh?!We subili lizzy apite hapa uone
SASA hiyo kwenye red ndo topic yako au?, sasa kama ni mke wa mtu wewe inakuhusu nini? unataka kujua inakuwaje huko nyumbani kwake si ukamuulize mumewe. wacha ujinga dogo.

Hehehe..teh teh teh..

wewe, yote aliyosema..hilo tu ndo limekugusa.

Ninashawishika kufikiri kwamba;

either

Lizzy ni mkeo, na jinsi alivyo hapa ndivyo alivyo hata nyumbani

or

Una mke mwenye tabia zifananazo na Lizzy!lol

either case

NAKUPA POLE!

"Ukweli unauma...always." - Wahenga

Hahhahahha...Okada bana...ningekua nayo ingekua ya kuwadhibiti wakware!Jamani Lizy..... una kahirizi nini? Wakware wote Lizy,. lizy, Lizy
Utakonda bure wewe!! Mtu mwenyewe hata hamuonani, embu jiamini kuanzia leo kukosolewa ndo mpango mzima ili upate kusugua kichwa vizuri!
Lizzy! where u??Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
kaka hapa watu hawapendi kupotezewa mda wao kufungua thread alaf unakuta upupu!Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Mentor, this has really touched my heart.
Unajua nilikua nasema leo hata m2 akinianzishia Sredi silegea, Lakini naona Mentor unataka kubadili msimamo wangu.
Let me read it again.
Dat wasn't for Lizzy..
ts for the lady av bin dreaming of cnc she came in here...
ts for her my heart has been beating so fast weneva she's near...
Vivian, jus tell me my cry u can hear!
Huyo Mentor ana nini huyo....check out mine Baby...dedicated to you.
You have come to me from a distant land,
Dreamer of dreams, to fill my hearts desire,
Sweet music flowing from your nimble hand
That plays within... to light my passion's fire.
To you, Baby.....
A life is changed in just an instant's time,
All darkness fled before that brilliant sun
That shines from spoken words of softest rhyme
And speaks of treasures, only just begun.
Saint.. kwa analysis yangu ya haraka haraka, hukosekani kwenye thread inayomuhusu Lizzy!!
..and do ze nidful!!!
av bin hurt, hurt to the deepest core of my heart
hurt, hurt by them that make a competition of your heart
hurt, hurt that they don't know what lays in my heart
a yearning for your love,
a yearning for ur smiley curve,
a yearning for u my white,lil' dove!
You really have a nice CD.
Daditto your is Nice too, But Mentor ameonyesha msisitizo kwa kuweka italics and Blue Colour.
I feel like saying yes to him.
Baby,
This mystic meeting gives my heart a glow
That few have seen and only you will know
Kwani Baby..what's your favorite color?
its from the deepest part of my heart,
where jus one woman has been and has the most part
my mum; but just know u'v rocked my heart!
If u'd say yes, my heart will leap with joy
If u'd say yes, my! i'd b lyk a baby who's seen a beautiful toy
If u'd say yes, I'l make sure u get ol u want or say!!!
Giving up has never been in my vocabulary. So I'mma ride this thing until the wheels come off.
Baby,
You're the first thing I think of
Each morning when I rise.
You're the last thing I think of
Each night when I close my eyes.
You're in each thought I have
And every breath I take.
My feelings are growing stronger
With every move I make.
aah we dogo tu mbona
Imekuwaje ukaibua hii sredi..duh!!