Namuogopa sana lizy!

Namuogopa sana lizy!

anapenda kujibu topic kimipasho pasho kama faizafoxy....sio sifa wee Lizzy!
 
mama yangu!

hata ukijibaraguza ujumbe umekufikia,na usinivute kny ligi zako za mchangani zisizo na kombe!

Hahaaaha...nikuvute nakujua ?!Usingejileta nisingekua na sababu ya kukujibu.

Watu wengine mnashangaza kweli...kuchangia uanze mwenyewe alafu eti unalia nakuvuta..only in your nightmares!!
 
Mkuu unaogopa kivuli
Mbona yuko poa sana yule dada ni wewe tuu hujamzoea na unaogopa kivuli chake
tatizo hapendi zile za " Am handsome meen" maana ukija na hizo lazima upate za uso
We hujui tu! yule dada anaogopwa si mchezo! majibu yake ni shortcut, sasa anaowajibu ni wengine lakini mimi huwa naumia vipi siku akinijibu mimi?
 
u sound like u are in love with her.....
Duh! hao jamaa walivyo like Comment yako! Nampenda tu kwa wepesi wake wa kuchambua mambo lakini namuogopa kwa tabia yake ya kutomezea makosa!
 
hahahahahahah looohhh

samahani dear
dahhhh umenichekesha kweli kweli
sijui sababu..
POLE sana ....
 
ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?

gazetlizy.....ndoa tayari hapo....duh matunda ya jf
 
Back
Top Bottom