Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

Sijasikiliza hizo ngoma, ila nmezipenda sana hasa hiyo ngoma ya kivuruge aisee n bonge moja la revolution kwenye muziki wetu na kimataifa, jamaa akikaza bc ndani ya wiki mbili atakwea pipa kwenye kuchukua tuzo yake mambele.
Atawaacha mbali sana hawa wasanii wetu wa sasa tunaowaona ni wakali.

ATASAAAA.! ATASAAAA.! ATASAAAA.!
 
Okay tutamsupport. Ila tungeanza nautambulisho tumjue majina na sura kwanza.
 
Back
Top Bottom