Namtamani binti yangu wa kazi

Namtamani binti yangu wa kazi

30yrs?
2 house girls, mlinzi????
Mama anakutembelea anakusifia!!???
Mkuu nina wasiwasi na story yako labda uwe ni mtoto wa mfalme fisadi.
Ulikusudia kuwanasa wepesi wepesi ambao watatamani watumikiwe na house girls wawili. Kwani lazima uwashike kwa style hii?
 
Hii thredi inaweza ikawa ya kweli au ya kutunga.Siwezi changia chochote mpaka itakapothibitika.Vinginevyo hii pia ni staili nyingine ya kutongozea.
 
Mwee Mwee Mwee

Tamaduni Zetu Zinapinga Sana Ili Suala La Baba Kuoa Mtoto, Chonde Chonde Mkuu Usifanye Ilo Suala
 
Mtafute rafiki ajaribu kuongea naye kwa kumgusia kama huyo rafiki anataka afanya mpango wawa kuku shawishi wewe umuowe huyo msichana kwa kigezo kuwa ameona ana tabia njema na mchapa Kazi then amsikie na afanye Wewe hilo hulijui.
Kuliko ukikulupuka unaweza ona aibu mtoto akigomea mawazo yako
 
Ikiwa haya ndio yanayojadiliwa kila siku humu MMU sitachelea kusema kuwa jukwaa hili pendwa limepoteza muelekeo...na sio kimbilio la wahanga wa mahusiano kama ilivyo kusudiwa bali limegeuka kijiwe cha wahuni wanaopromote uzinzi bila kujua athari zake..........

Umeona mkuu mengine ni sense less sanaa
 
Anza kutoa kadi na vikao vianze mapema. Hadi kuleta humu jamvini najua mmeshatoboana vya kutosha hapa unatafuta huruma za watu
 
Usizuzuke na cheo cha housegirl ndugu...ndio huyo huyo akiwa anasafiri ataitwa ABIRIA, akienda gesti ataitwa MGENI, akilewa anaitwa MLEVI, akifundisha ataitwa MWALIMU, akiiba ataitwa MWIZI...so kama anasifa ya kuolewa OA ataitwa MKE.
 
Kama umedhamilia kweli oa na kama tamaa tu mwambie ukweli usije ukaharibu mambo yako
 
Piga mti kwanza ndo uamue unaoa au la pengine nii mshindo tu wa mwili
 
Back
Top Bottom