Tatizo ananiita baba.
Bosi, mimi ndio mlinzi wako, kwa kweli uzalendo umenishinda kwa huyo mtoto wa singida, nimeamua kukuwahi nimemega tunda, sijui utaendelea na huo mpango wako?Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.
Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.
Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.
Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida
Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
Haaaaa sio kwa wivu huo,Huyu muhehe anajituma lakini sijui kwa nini siwezi kumtamani. Nimempenda huyu MNYATURU anavutia acha tu sasa sitaki hata marafiki wanitembelee home, tumalizane ofisini au twende kuongelea hotel.
Mkuu samahani hivi hili jina Mamushka lina maana maalum!? Mama wa rafiki yangu anajina lake lakuzaliwa ila Mamushka ndio umaarufu wake.Huyo wapili mbona hujamsifia pia, au ni mamamushka
Qhumamamae zakoBado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.
Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.
Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.
Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida
Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
Housegirl ni cheo tu Mkuu,yule ni mwanamke Kama Mwanamke Mwingine Kama kafika viwango ambavyo ulikuwa unavitaka Fanya Maamuzi,Na yrye akiridhia Mm sion Kama Kuna shda.Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.
Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.
Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.
Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida
Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mbinu aisee [emoji119][emoji119][emoji119]Ikifika usiku mwite chumbani, akja mwambie unaumwa umezidiwa alale na wewe akuangalie usije kufa
HG ninafac tu,hatupaswi kuwadharau kwakweli!Usizuzuke na cheo cha housegirl ndugu...ndio huyo huyo akiwa anasafiri ataitwa ABIRIA, akienda gesti ataitwa MGENI, akilewa anaitwa MLEVI, akifundisha ataitwa MWALIMU, akiiba ataitwa MWIZI...so kama anasifa ya kuolewa OA ataitwa MKE.
Muoe tu mkuu, ukichelewa mlinzi atajiseviaBado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.
Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.
Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.
Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida
Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
Ok sasa unamtamani ili umtombe tu au una malengo naye ya kumuoa?Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.