Namtamani binti yangu wa kazi

Namtamani binti yangu wa kazi

We unadhani ukimpa barua ya kumpandisha cheo atakataa eti kwa vile anakuita baba mbona la kawaida tu, kwani hujawahi kuckia mke anamwita mumewe baba, kama ukishindwa niunganishie mimi
 
Msichana kanawiri na kupendeza. Unamtamani.Masharobaro yapo mtaani.Unasafiri kwenda mkoani na kukaa kwa muda.
Hayo niliyoyataja ni ingredients za huyo msichana kutongozwa na kugongwa hapo mtaani ukiwa safarini.Si ajabu hapo alipo ni mja mzito.Kampime kwanza kama ana mimba au magonjwa.Asipopatikana na chochote kati ya hivyo viwili mweleze nia yako.Akikubali, onana na wazazi wake uchukue mzigo ujipatie wife.
 
Halafu km nakufahamu hivi....wewe una mtoto mmoja wa kike au?
 
Promotion time....let her climb up the domestic ladder!

Afu huyo mlinzi huyo....mlinde.
 
Hao mabinti ni very strategic.

Wewe utakua ndg yake Rutashobia
 
Mkuu correction Script writer na sio screen writer. True huyu ni amateur script writer looking for free advise on his story. Halafu this is such a stupid story line. Ipongo unatuchota akili hebu tuache kwanza
 
Huyu muhehe anajituma lakini sijui kwa nini siwezi kumtamani. Nimempenda huyu MNYATURU anavutia acha tu sasa sitaki hata marafiki wanitembelee home, tumalizane ofisini au twende kuongelea hotel.
hao wa singida lakini wanakeketa kama huwa mpenzi wa wali maharage basi jua utakula wali matembele for therest of your life.
 
Ila sijui kama wataishi vizuri na mwenzie tena...yaani ofc mate awe boss ghafla....
 
Mkuu inaonyesha hadi umri huu huna dira katika mahusiano wewe ni domo zege,sasa hapo wewe jitose mzima mzima kabisa,kula beer uondoe aibu kwa muda....
 
Chai,
Ukute kula kulala kwa baba na mama,huku Jf unajifanya una ma house girl wawili wanakutandikia kitanda.
 
Back
Top Bottom