Namtamani binti yangu wa kazi

Namtamani binti yangu wa kazi

Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.

Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.

Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.

Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida

Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.

Weka picha kwanza
 
Nadhan lengo lako lilikua watu tujue kuwa una maisha mazuri hadi una wadada wawili wa kazi,hongera zako bana mkuu.
Hapana nikuweka wazi kinachonifanya nikereke rohoni siwezi kujitapa kwani maisha ninini, mbona yote mapito tu.
 
We naye,huyo uliyempenda ndo mke,au wewe domo zege? mwandalie mazingira ya kumuonyesha kuwa unampenda muweke wazi awe mkeo
 
Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.

Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.

Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.

Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida

Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
Miaka mitatu ni sahihi kwa mtumishi yeyote kupanda cheo naona hg anahaki ya kupandishwa cheo na kuwa mke
 
Mkuu una wivu sana umeajiri walinzi kwa ajili kulinda mahouse girls wasiliwe na wahuni?

Kweli wewe ni shidaaa
 
Si umpandishe cheo kutoka beki tatu kuwa mke? Unamuachia nyumba kipindi kirefu ambacho unakua mikoani na kazi zake unaridhika nazo. Umemtunza vizuri kapendeza mpaka umeanza kumtamani sasa unataka nini? Ana heshima kwako mpaka anakuita Baba japo mmepishana miaka sita tu. Chakarika Mkuu.

Tatizo nimekuwa mtu wa imani sana bila Ndoa inakuwa ngumu
.
 
Ipo clip moja imezunguuka sana kwenye mitandao ya kijamii, yupo mheshimiwa mmoja ambae anajiita kuwa yeye ni mchungaji ingawa sijabahatika kujua anawakilisha dhehebu gani hasa,
Yeye anadai na akihimiza kuwa wadada-wakazi 'mabekitatu' inapaswa wanaumme (mabosi) wawatafune tu kwa maana kuwa mungu eti, ametuelekeza tuwasaidie kumaliza haja zao.

Sihimizi uasherati, Akili ipo kichwani mwako.
Naomba vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Point well noted...una maisha mazuri sana..hey intended species..did you read between the lines what message this gentleman wanna convey??

1-nyumba kubwa -wageni hfika na kulala
2-eneo kubwa-fens
3.Furniture nyingi-housegirls wawili
4-Fedha nyingi-housegirls wanapendeza hadi rafiki zake kuwatamani
5-kazi nzuri-safari mwezi mzima
6-maisha ya juu hadi housegirl ana bodyguard

ushomire
 
ha ha ha,bora na we umeona hlo mkuu.
 
Back
Top Bottom