Namtamani binti yangu wa kazi

Namtamani binti yangu wa kazi

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,846
Reaction score
7,904
Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa.

Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani naweza kusafiri zaidi ya mwezi mzima nisiwepo nyumbani lakini nikirudi nakuta mazingira ni mazuri wanajituma kufanya kazi nikiludi wananitandikia kitanda wanapika chakula kizuri.

Kwa ujumla mazingira ya nyumbani yapo safi kuzidi hata mwenye mke hata mama angu akinitembelea anawasifia sana kwa kujituma.Kwasasa huyu wa singida kanawili mtoto kapendeza nafikia hatua namtamani ila nashindwa kumwambia kwakuwa ananiita baba ingawa siwezi kuwa baba ake maana nimemzidi miaka 6 tu.

Nimefikia hatua nimemwajiri mlinzi alinde gettin kwaajiri ya masharobaro kila mara kengere wakijifanya wanaulizia mtu ambaye hayupo mpaka marafiki zangu wanamtamani, mlinzi ahakikishe huyu wa Singida

Haongei na mwanamume yeyote. Naona naweza kumuoa house girl wangu nifanyeje maana mtoto akinichanganyia maji ya kuoga bafuni nasahau kifo.
 
Huyo wapili mbona hujamsifia pia, au ni mamamushka

Huyu muhehe anajituma lakini sijui kwa nini siwezi kumtamani. Nimempenda huyu MNYATURU anavutia acha tu sasa sitaki hata marafiki wanitembelee home, tumalizane ofisini au twende kuongelea hotel.
 
Point well noted...una maisha mazuri sana..hey intended species..did you read between the lines what message this gentleman wanna convey??
 
Back
Top Bottom