Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Feb 12, 2024 #1 Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm.
Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm.
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,816 Reaction score 15,578 Feb 12, 2024 #2 Rene Jr. said: Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm. Click to expand... Mlipotezana au wewe ulipotea?
Rene Jr. said: Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm. Click to expand... Mlipotezana au wewe ulipotea?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,863 Reaction score 31,532 Feb 12, 2024 #3 atakuja
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,573 Feb 12, 2024 #4 Msubiri Maana Watu Wana Multiple Id Kama Njugu Mawe.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,665 Reaction score 62,410 Feb 12, 2024 #5 Ngoja nikusaidie kumuita cute b
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,097 Reaction score 182,807 Feb 12, 2024 #6 Kuna mumewe humu bila shaka akiona hii atamwambia! cc Smart911
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Feb 14, 2024 Thread starter #7 Mahondaw said: Kuna mumewe humu bila shaka akiona hii atamwambia! cc Smart911 Click to expand... Good. Akiona anisaidie kufikisha habari
Mahondaw said: Kuna mumewe humu bila shaka akiona hii atamwambia! cc Smart911 Click to expand... Good. Akiona anisaidie kufikisha habari
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Feb 14, 2024 Thread starter #8 Manga ML said: Mlipotezana au wewe ulipotea? Click to expand... Tulipotezana, maana namba yangubalkuwa nayo nami yakr nlikuwa nayo[emoji22]
Manga ML said: Mlipotezana au wewe ulipotea? Click to expand... Tulipotezana, maana namba yangubalkuwa nayo nami yakr nlikuwa nayo[emoji22]