Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim

Hata mie nahisi hivyo
Lakini ukweli anaujua yeye
Wapendwa mtu aliyefanya makosa hatafutwi public namna hii naendelea kusema naheshimu mitazamo yenu ila laiti ungepitia kupotelewa na ndugu halafu unaomba msaada then unakutana na situation ya namna hii nadhani tunapeana maumivu yasiyo na msingi.
 
pole sana chief
 
E Bana eeh,na mie namtafuta rafiki yangu tulipotezana 2006.
Anaitwa Sospeter Wambura Masagi...
Huyu tuli survive nae Buhemba...baadae tukapata ajali maeneo ya Muzani machimboni...tukawa Hospitali ya Lukole ya wakimbizi....baadae nikasafiri nae hadi kwa dada yake Tabora kwa matibabu...alivunjika mguu....mie nikaelekea kusini mwa Tanganyika...nikiendelea kutafta maisha.....basi toka hapo sijamsikia tena manake simu ilipata changamotonsky
 
Mungu asimame nasi mkuu na amini ipo siku watapatikana
 
Wapendwa mtu aliyefanya makosa hatafutwi public namna hii naendelea kusema naheshimu mitazamo yenu ila laiti ungepitia kupotelewa na ndugu halafu unaomba msaada then unakutana na situation ya namna hii nadhani tunapeana maumivu yasiyo na msingi.
Achana nao hao, JF wengi Mwezi mchanga,
 
Pole sana aisee, inaumiza sana. Kuna ndugu yangu alikimbiaga kwa babu ambaye ni baba yake toka miaka za 70 hajaonekana hadi leo. Chanzo cha kukimbia naambiwa alifanya kosa akala kipigo kikali, usiku huo huo akakimbia mpaka leo hajaonekana. Wakati huo alikuwa na miaka kati ya 14.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom