Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim

falcon Q

JF-Expert Member
Feb 28, 2023
788
2,122
Wanabodi salam,

Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim Mara ya mwisho aliondoka Dodoma na kuelekea mkoa wa Singida kama miaka minne nyuma. Kwa yeyote anayemfahamu naomba anicheck pm. Natanguliza shukrani za dhati

NB: Ni kaka yangu wa tumbo moja kama familia tumejitaidi sana kumtafuta bila mafanikio tunaomba usaidizi wenu wana bodi na Mungu awabariki.
 
Wanabodi salam

Huyu mtu siyo kaka yako kwa mujibu wa Maelezo,wewe sema kuna tukio kafanya kakimbia that's why unamsaka.

Ndugu hatafutwi kiholela kama ufanyavyo!
 
Wanabodi salam,

Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim Mara ya mwisho aliondoka Dodoma na kuelekea mkoa wa Singida kama miaka minne nyuma. Kwa yeyote anayemfahamu naomba anicheck pm. Natanguliza shukrani za dhati

NB: Ni kaka yangu wa tumbo moja kama familia tumejitaidi sana kumtafuta bila mafanikio tunaomba usaidizi wenu wana bodi na Mungu awabariki.
Picha,ila uombe asiwe ametenda single mamas,na wasiwe humu,
 
Kingine,muhimu sana unapoandika wajihi wa mtu jaribu kuweka majina yake matatu lakini hasa jina lake la mwisho liwe la Kibantu.

Hapo umeweka majina yote ya kigeni sidhani kama tunae Mtanzania aliyekosa jina la asili ya Africa
 
Back
Top Bottom