mlipaswa mtulieTunashukuru kwa wazo hilo mkuu yawezekana tumeliona vibaya pia
Shukrani mkuuLabda hataki kupatikana !!!
Anyway nadhani hayo majina matatu yanatosha kama huko alipo hajabadilisha jina; issue za kuweka picha yake unaweza ukakuta huko alipo unamuharibia mipango yake...., Dunia ina mengi hii nadhani jaribu kufuatilia kwa haste haste sio full blast....
Pamoja sana mkuu wazo zuriLabda hataki kupatikana !!!
Anyway nadhani hayo majina matatu yanatosha kama huko alipo hajabadilisha jina; issue za kuweka picha yake unaweza ukakuta huko alipo unamuharibia mipango yake...., Dunia ina mengi hii nadhani jaribu kufuatilia kwa haste haste sio full blast....
Temeke stereo umeenda mbona kama niliwahi kumuona Kwa wauza nazi?Huyu hapa kwenye picha samahani nlisahau kuambatanisha picha msaada wenu kwa anayemfahamuView attachment 2712173
Kama Yuko Tabora wanawake wa Tabora wanyamwezi wanawaficha wanaume wenye maslahi nao kwa ndumba mwanaume anakuwa hakumbuki kwao wala nduguHuyu hapa kwenye picha samahani nlisahau kuambatanisha picha msaada wenu kwa anayemfahamuView attachment 2712173
Nahis kama mtoa mada kuweka undugu ni zuga tu, Kuna tukio kapigwa either deni, kakimbia na usafir wa mtu n.kSio kwa ubaya,ni swali tu
Inakuwaje anatafutwa na anaonekana ni mtu mzima?alifanya jambo akakimbia family ama ni nini?
Broo alikua ni mwalimu then akaacha na baada ya kujiendeleza kielimu akaamua kujiajiri kwenda singida ni katika harakati za maishaKamanda muhimu ukatoa maelezo ni mjasiliamali au singida alikwenda kufanya nini akitokea wapi na hapo wapi alikuwa anafanya kazi gani?
Kama ulivyosema ni mtazamo wako na ibaki hivyo lakini ukweli ni kwamba ni kaka yangu hakuna cha zaidiNahis kama mtoa mada kuweka undugu ni zuga tu, Kuna tukio kapigwa either deni, kakimbia na usafir wa mtu n.k
NB: Ni mtazamo wangu
IdiotStupid
Acha ujuaji, kwani anatafutwa kwa makosa huyo?mnaharibu sasa acheni ubishi
Hata mie nahisi hivyoNahis kama mtoa mada kuweka undugu ni zuga tu, Kuna tukio kapigwa either deni, kakimbia na usafir wa mtu n.k
NB: Ni mtazamo wangu
Huyu hapa kwenye picha samahani nlisahau kuambatanisha picha msaada wenu kwa anayemfahamuView attachment 2712173
mradi na wewe umequote si ndioAcha ujuaji, kwani anatafutwa kwa makosa huyo?
Yaani Upoteze ndugu, Upeleke taarifa polisi, Halafu eti utulie tuu? Kwa polisi wapi lakini?
Rubish.