falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 1,203
- 3,020
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu nimesita kuliweka kwasababu jamii yetu ya kisandawe tuna majina ambayo si ya kibantu kama ujuavyo wasandawe so wabantu ngeliweka ingeleta mada nyingine tukatoka kwenye kusudioKingine,muhimu sana unapoandika wajihi wa mtu jaribu kuweka majina yake matatu lakini hasa jina lake la mwisho liwe la Kibantu.
Hapo umeweka majina yote ya kigeni sidhani kama tunae Mtanzania aliyekosa jina la asili ya Africa