Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,728
- 4,058
Habari za Jioni wakuu!
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza,namtafuta Gungu yetu kwa muda sasa bila mafanikio niwaombeni wanajukwaa kama kuna anaemfahamu ampe taarifa hii au kama amebadili ID ajitokeze pia kama amepigwa ban niwaombeni moods mmuachie japo kwa dk5 anipe mawasiliano yake Pm!
Natanguliza shukrani kwa yeyt atakaewezesha kwa namna yoyote ile!
Asanteni!
Mhembejr