Kila raheriNgoja niwe bize nao tuone
Kwa sauti ya boss luganoHahaha..........kweli Vijana mnafaidi
Na nimesikia mabinti za miaka hii ni hodari sana maeneo 😜
Au sioHahaha..........hebu nenda ukasome hadithi ya SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)
Uone Wazee wanavyojua kulea lakini pia kupelekea moto kama Vijana mnavyosema 😜🙌
Kweli bora tumezeeka sasa 🤗
Kwaiyo unamfuata uko ughaibuni😂Tag vizuri afike kikamilifu Mrembo Leejay49 njoo moyoni
Unamtaka wa nn mkuu hujui mm nishajiwekamo hapo? We unadhani mi mpaka sahiv nadunda humu jf sababu ya nn? Ananihonga kichizi nitulie naeHuyo Lamomy mimi ndio namtaka kwa sababu hata mimi ni mtu wa heshima zangu ila basi tu🤔
Pao master tukae kibingwa bingwa tu , ila mimi ni rafiki yangu tu punguza upwiru bwashee.Unamtaka wa nn mkuu hujui mm nishajiwekamo hapo? We unadhani mi mpaka sahiv nadunda humu jf sababu ya nn? Ananihonga kichizi nitulie nae
Daah asante kwa ushari dada mzuri, naomba maelekezo yako kwa ukaribu, umesema kwa siwezi kuwapata wanaojielewa kwanini?Hata hao B huwezi wapata, labda wasio jielewa, yaan B aliye smart n upstairs akufate wee? Ila inawezekana. Kunao wengine tunasikia wana wakurupukia watu pasipo kujua status zao za sex affairs. Lol
Pao master tukae kibingwa bingwa tu , ila mimi ni rafiki yangu tu punguza upwiru bwashee.
Nikija bongo now ni Serengeti na mikumi tu , nikitoka hapo naenda njombe basiiiMje mje unguja kubarizi... jaje!
Hatari sana 😅Kwa sauti ya boss lugano
Nimejifunza hiyo... lakini honest ni nzuri pia unaweza kusaidika kupata huo mchongo kutoka kwa baby wako kuliko kujificha kuwa una mchongo una usubiriMwanaume hutakiw kusema wew ni jobless sema Kuna mchongo unausikilizia mwak huu mwishoni utatiki🤣🤣🤣
Sasa B atakufataje wee? Ikiwa sio chaguo lako? Hata km usingeweka ⚠️, bado isingekua 7bu ya wao kuja kukusumbua.Daah asante kwa ushari dada mzuri, naomba maelekezo yako kwa ukaribu, umesema kwa siwezi kuwapata wanaojielewa kwanini?
Naoa ndoa ya mkeka Mkuu 😁Mkuu ni kweli unataka kuoa ama unataka uchukue tu michango yetu ufanyie mambo yako mengine 😜
Hata hivyo tukupongeze Kwa hatua uliyofikia, wenzio Kataa Ndoa hawataki hata kusikia hayo mambo ya Ndoa 🤗
Wenzie wanaandaga mazingira mapema kabla mvua hazinaanza,. Wengine wanaoa kabisa@@Leejay49 kuna nafasi humu moyoni mwa mtu
Saivi njia za kukwepa ngono ni zipi😂Pao master tukae kibingwa bingwa tu , ila mimi ni rafiki yangu tu punguza upwiru bwashee.
Tuheshimiane mm silipwi kwa top layerMambo ya top layer hayo AKA malipo ya viranja wa shule na skawti mkuu.