Namtafuta atakayenifaa maishani

Namtafuta atakayenifaa maishani

Mkuu ni kweli unataka kuoa ama unataka uchukue tu michango yetu ufanyie mambo yako mengine 😜

Hata hivyo tukupongeze Kwa hatua uliyofikia, wenzio Kataa Ndoa hawataki hata kusikia hayo mambo ya Ndoa 🤗
 
Mkuu ni kweli unataka kuoa ama unataka uchukue tu michango yetu ufanyie mambo yako mengine 😜

Hata hivyo tukupongeze Kwa hatua uliyofikia, wenzio Kataa Ndoa hawataki hata kusikia hayo mambo ya Ndoa 🤗
Hili jambo Lina mwisho wake tupeni mda kwanza 😂😂😂
 
Kaka nilipo naosha vinyesi vya wazee yaani professional mharo wiper, acha mbaga za kujinyanyapaa, na watu tuna make dooo.
Hiii sasa itakua ni SA apo uko vizuri napiga lkn hapa bongo utapata ni masimango tu
 
Mwanaume hutakiw kusema wew ni jobless sema Kuna mchongo unausikilizia mwak huu mwishoni utatiki🤣🤣🤣
Nikiona comment yako naona mavyakula , ila mimi kama katibu wa majobess naomba utoe hoja mbili za kutetea comment yako.
 
Back
Top Bottom