Kwangu sina weekend madam , mimi nalewa mda wowote tuHao washalewa leo weekend jirani..!! 😹😹
Wewe kijana wa hovyo upo?nipo hapa
Karibu Ms Rnipo hapa
Nipo nitaenda wapi mimiWewe kijana wa hovyo upo?
ila mi akili sinaKaribu Ms R
Wewe kibaka sana ,tulikumisi humu aseeNipo nitaenda wapi mimi
nimerudi sasa,,ila kwenye kunimis huko uongoWewe kibaka sana ,tulikumisi humu asee
Kwanini iwe uongo ?nimerudi sasa,,ila kwenye kunimis huko uongo
nmeptia quotes zooooooote sijaona huo mmiso wakoKwanini iwe uongo ?
Nitakupa akili mbili, moja ya kunipenda mimi tu na moja ya kuwakataa mahuni wa Jf.ila mi akili sina
Asiye kuwepo na lake halipo Thibitisha sasa sina huo mmiso ?nmeptia quotes zooooooote sijaona huo mmiso wako
ghai wewe,, kwaio itakua niwewe tu!!!!!!??Nitakupa akili mbili, moja ya kunipenda mimi tu na moja ya kuwakataa mahuni wa Jf.
hizo si zinatosha...
dah mesej imentoa chozi la uchungu hiiAsiye kuwepo na lake halipo Thibitisha sasa sina huo mmiso ?
unataka umuongeze na min -me?ghai wewe,, kwaio itakua niwewe tu!!!!!!??
Hapana,,ila yeyote atakae tangaza niaunataka umuongeze na min -me?
Acha hivo basi😂Nilikuwa nakula canteen only
Doh 😅🤣🤣Pombe za weekend zimekimbilia chini, hapo bado kipande chako cha sabuni ujimalize 😹😹😹
Jessuuu ,pole sana madam ulikua na nafasi kubwa ila nasikitika mno points zako zimebaki chache🥲dah mesej imentoa chozi la uchungu hii
Sasa mbona Pm imefungwa Ms R, Napata mashaka na utayari wako.Hapana,,ila yeyote atakae tangaza nia