Namtafuta atakayenifaa maishani

Namtafuta atakayenifaa maishani

Vijana wanahudhuria vikao vyao balaa tusahau tu kuhus kuolewa hawatak kabisa
Kuolewa kupo, nyie ndio mnaleta mapepe na ufeminist wenu kutaka kumsulubu mwanaume kwa kigezo cha ndoa. Ukiwa na natural woman habit bila kufata trends za woman empowering utaolewa tena na mimi.

mii sio jobless... Kuna mchongo nausikilizia
 
Na uzuri mmoja mimi nikishalewa siwezi vunga kabisa 😅 ila nafasi yangu ya ukatibu naipenda mno
😂😂😂Staafu oa na wana chama waigee mfano wako labda tutaokotaa baadhi ya wnachama😂😂
 
Em ingia kwanza bafuni upige kimoja ndo uje tuongee vizuri
Daah nimesoma hii huku nakenua mpaka watu wamenishangaa...

Nyie mabinti wa humu ni wamotoo sana.

Uvumilivu ulinishinda ile asubuhi Nimeshastua kama viwili. Naamini havina utamu zaidi ya wewe kuingia moyoni kwangu
 
Back
Top Bottom