Namtafuta atakayenifaa maishani

Namtafuta atakayenifaa maishani

Itakuwa aliona ubavu umekuja dunian ukiwa umepinda mama akaaona waasije kuniulia mwanangu😂
Ndio maana mama yangu nampenda sana , huyu na mama x wife zangu ndio wanawake nawapenda kuliko wote .
 
zimejaa(wangapi?) Imejaa
20250419_205449.jpg
 
Mtalii maskini wewe.. nataka nikutup bawe island pale ulipe 3 m per night mzee wiki tu huna hata mia wallah
Kaka mil 3 mimi naitengeza kwa saa wewe haushtuki tu? Hivi kumbe huwa mnamchukulia Jack sparrow kirahisi rahisi tu humu?
 
Back
Top Bottom