Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,420
- 10,586
Sitaki madume jike (lgbtiqwyz) Njia ni moja tu iendayo uzimani ipo mlango wa mbele.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🖐️🤣🖐️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🖐️🤣🖐️
Hahahaha siku nikiwa babu nahisi nitakua babu bora sana kichwa changu kina maelfu ya hadithi na riwaya za kitambo mnoHahaha..............Unajua Wazee ni kama vitabu, tunazo hadithi nyingi vichwani mwetu kutokana na maisha tuliyoishi Mwaka 47 🤗
Uzi uko pale pale lazima tuendelee kuuvuta hakuna kuoindua mezaNasubir katibu min -me astaafu najua watafuata viongozi wazembe wazembe sheria itaangaliwa upya vijana waoe 🤣🤣
Kweli Vijana mmeamua kutengeneza uadui kabisa na NdoaBadooooo babu
Siwanawapenda nyie mnajua kulea hatujari tena kuhusu ndoaKweli Vijana mmeamua kutengeneza uadui kabisa na Ndoa
Hivi hawa warembo wote mmeamua kutuachia Babu zenu peke yetu 😜
Babu tuna wadonoa ila ndoa ndio vigumuKweli Vijana mmeamua kutengeneza uadui kabisa na Ndoa
Hivi hawa warembo wote mmeamua kutuachia Babu zenu peke yetu 😜
Hakuna kuchomokaNa uzuri mmoja mimi nikishalewa siwezi vunga kabisa 😅 ila nafasi yangu ya ukatibu naipenda mno
Safi sana MkuuHahahaha siku nikiwa babu nahisi nitakua babu bora sana kichwa changu kina maelfu ya hadithi na riwaya za kitambo mno
Kicheche huyu atapokua BabuSafi sana Mkuu
Najua Wajukuu zenu wa miaka ya 2050 huko watafurahia sana 🤗
Kumbe kuonja mnawaonja?Babu tuna wadonoa ila ndoa ndio vigumu
Hahaha.......awe makini tu, maana Ukiwa kicheche miaka yenu hii hamchelewi kuanza kupoteza uzito wa mwili ghafla Kwa asilimia 10 😜Kicheche huyu atapokua Babu
Akikosa age kidogo y chini kabisa 45. We unaona sahiv anacomment mada hizi za kigen z. Mm lamomy nishamfatilia toka anaweka comment ya kwanza jf.. sio mtu tu! Ni mtu mwenye heshima zake ila bas tuHahahah kumbe uka sio kwa lamo ,haka ka lamo ni katoto ka 2000 tu hapa
Kabisa Babu ebu assume mimi jack sparrow now nishadonoa , nimekula nyama nyingi na nina vitega uchumi vyangu , hapa mtoto amara toka vyungu vituka ana ndoto za kudonolewa namtu kama mimi halafu kapata namba yangu kwenye gazeti la tenda zinazotolewa na serikali akaomba aongee na boss🤣🤣🤣🤣Kumbe kuonja mnawaonja?
Mbona sisi mwaka 47 ilikuwa haturuhusiwi kuonja hadi Ndoa
Kweli Vijana mnafaidi 😜🙌
Ndiyo maana mmeona hakuna haja ya kufuga ng'ombe wakati mna uhakika wa maziwa 🤗
Mshangingi ndio ile inakuwa minene alafu wakitumia mikorogo inadunda, Yani utamkuta uso mweupe lakini pua na masikio ni vyeusi, inalewa kupitiliza na inapenda ubabe ubabe.Hivi shangingi huwa ana sifa gani
Hahaha..........hebu nenda ukasome hadithi ya SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)Siwanawapenda nyie mnajua kulea hatujari tena kuhusu ndoa
Ngoja niwe bize nao tuoneKushaanza kuchangamka Wacha waje chief libido walitoe
Huyo Lamomy mimi ndio namtaka kwa sababu hata mimi ni mtu wa heshima zangu ila basi tu🤔Akikosa age kidogo y chini kabisa 45. We unaona sahiv anacomment mada hizi za kigen z. Mm lamomy nishamfatilia toka anaweka comment ya kwanza jf.. sio mtu tu! Ni mtu mwenye heshima zake ila bas tu
Hahaha..........kweli Vijana mnafaidiKabisa Babu ebu assume mimi jack sparrow now nishadonoa , nimekula nyama nyingi na nina vitega uchumi vyangu , hapa mtoto amara toka vyungu vituka ana ndoto za kudonolewa namtu kama mimi halafu kapata namba yangu kwenye gazeti la tenda zinazotolewa na serikali akaomba aongee na boss🤣🤣🤣🤣
Umetisha blaza na sio brazaMshangingi ndio ile inakuwa minene alafu wakitumia mikorogo inadunda, Yani utamkuta uso mweupe lakini pua na masikio ni vyeusi, inalewa kupitiliza na inapenda ubabe ubabe.
Kuna na buzzi sijui ndio wakoje