Namsikitikia, He was my boyfriend

Duniani kuna mambo. Tuwakumbuke na wale walioko kwenye mazingirz magumu ki maisha, kikazi nk kwa maombi.
Maana maomboi hufungua vifungo mbalimbali vya yule muovu shetani.
Uteja ni kifungo, ni maombi pekee ndiyo silaha ya kumfanya teja akate hamu ya maunga yake na arudie kwenye maisha yaliyo manyoofu.
 

Haya sasa ni maelezo yako binafsi, huwezi kutufundisha jinsi ya kusoma na kuelewa, tunafahamu vizuri maana ya viwakilishi na vivumishi, kama hii story imekunogea ongezea na uongo wako mwingine funguwa thread nyingine kwamba Gilfriend wako wa zamani umemkuta anauza mataputapu. ni uhodari wako tu wa tungo.
 

Mkuu wewe kama umesoma umeelewa zaidi ya mtoa mada huo ni uwezo wako mwenyewe.., lakini huwezi kubadilisha story kwamba haikutokea hivyo sababu ya uelewa wako mkubwa..., Issue hapa ni kwamba Prefect/Boyfriend wake wa zamani asingeweza kumkataa Assembly..., Na mimi nimeonyesha jinsi ambavyo angeweza kumkataa Assembly..., Both of Us tunatumia Paragraph alizotoa mtoa mada ili kuelewa Story.....

Ofcourse haya ni maelezo yangu binafsi kuelezea kwamba ni possible hii issue kutokea kama wewe maelezo yako yalivyo binafsi kusema kwamba mtoa mada amedanganya....,
 
Kungekua hamna watu kusingekua na umuhimu wa kupataja maana kusingekua na chochote cha ajabu....ni sawa na kumhadithia mtu kwamba mlitukanana mkiwa nyumbani tena chumbani wakati kusema nyumbani tu inatosha!Wengi walivyoelewa au niseme alichomaanisha ni kwamba kufanya hivyo huyo kaka alimdhalilisha....na kuachwa wakiwa assembly (empty) hakudhalilishi.Kwa maana hiyo kulikua na watu...na hichi ndicho ambacho hakiwaingii watu akilini kwamba kaka wa shule anaweza kusimama pale mbele kitu ambacho kingeweza kumuingiza matatizoni kwa kubainika wanaendekeza mapenzi shuleni!
 

Kwanini kungekuwa hakuna haja ya kupataja Assembly (wakati aliachwa Assembly) kutokuwa na watu au kuwa na watu hakubadilishi Assembly iitwe jina lingine, pia huenda walikuwepo wanafunzi wachache ambao walispread the romour hence mtoa hoja kudhalilishwa..... Its all Possible alafu huenda maneno aliyoyasema ni kumwambia "unikome na uache kunifatafata..., ) To me that is the same as kuachwa na sidhani kama ingeweze kumletea matatizo..., keeping in mind kwamba walikuwepo wanafunzi wachache..... Je is this not possible?
 
kweli inasiitisha.but wewe fanya mpango wa kumsaidia ili aondokane na wimbi la madawa ya kulevya through councelling by specialists.Ondoa tofauti zenu na ukumbuke huyo ni kijana mwenzetu wa kitanzania na hivyo inatupasa kumsaidia.najua ni vigumu but do that
 
Haya mkuu....!
 
Haya mkuu....!
Mhhh tusikubaliane kirahisi hivyo tuseme hii story angeitoa mtu ambae hana historia ya kutokuaminika je isingeaminika...?
Na kama ingeaminika, je haiwezekani kwamba tangia juzi mtoa mada amebadilika sasa anaongea ukweli tu uongo kwake mwiko....?
Mhh niambia kama that is not possible...?
 
Mi hata sijui ndo maana sikuchangia tokea mwanzo.Na kuumiza kichwa kufikiria kitu ambacho kinaweza kua ni hadithi ya kufikirika tu kwakweli SITAKI!!Haya mpe ushauri....,
 
Bado naendelea kuamini hii stori ni ya uzushi....TUPA KULE!

Na hwa hapa chini ni magreat thinkers

mlikuwa na ndoa? Shule gani hiyo inaruhusu mahusiano ya kimapenzi hadharani hivyo mpka mtangaziane kuachana?... Mi napata shida kuamini hii story ya Nazjaz!..









Na huyu hapa chini ni mbishi wa kimataifa........ Hebu angalia hapo kwenye red....AKAUTANGAZIA UMMA WA WANAFUNZI.......... Mkuu unajua maana ya KUTANGAZA? na najua maana ya MBELE? na unajua maana ya UMMA? Kama hujui, basi endelea kumshauri kama alivyokusihi Lizzy hapo juu....


 
Naona kama kusadikika?au duniani wawili wawil I mean watu hufanana,haingii akilini mwanafunzi aliyepata div 1.4 asijitambue kwa kiasi hicho ingawa in other case inatokea,ila kama kweli msaidie na umuonyeshe umuhimu wake isitoshe one the day mnapendana wote mlikuwa wanafunzi watoto pengine mlikuwa hamjui thamani ya kitu(mapenzi) mlichokianzisha so kama kweli mpeleke kitu cha ushauri na aulizwe kipi kilimsibu in his life .
 
Hii story ya kutunga wala haina ukweli wowote! Kafungwa miaka 3, kapata div 1 point 4 PCB. Kwanini hakuenda chuo kikuu baada ya kutoka gerezani? Siamini kama jamii inyomzunguka kijana huyu ni wajinga kiasi hiki hata wasimpe ushauri!

Omba kazi kwa Shigongo akupe ukurasa kwenye gazeti la kiu!
 
Halafu watu wake wote kwenye thread zake anakutana nao posta mpya ...lol
 
Nazjaz nawe kama mtata,mapenzi mkiwa sec sch yalikukolea hivyo?Hayo huwa ni ya kupitisha muda tu na huwa ya siri kwa pande zote,nyie mlifikia hata kutangaziana talaka assembly?Any kama binadamu yoyote namuonea huruma kwa u-teja wake,lakini unaweza kumsaidia afike rehab centers aachane na ubwiaji unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…