Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

eee bhana naomba nikiri wazi kabisa kwamba tangu nimfahamu huyu dada sijawahi kumuona akiandika maandishi nyororo namna hii !!!
Watu hawatumiagi lugha ngumu kutongoza kaka, lazima abembeleze ndude
 
Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.

Sasa kama anachonganisha wenzake si unatakiwa ufurahi kwamba CDM inabomolewa??

Unless kama una mengine ambayo umeyaongea alternatively hapa..
 
Kuponda kote CDM humu ndani leo anawapa ushauri wa wazi kabisa.. Ajabu hii, awaache wavurugane na Ben tu..

Huyu kuna kitu kakumbuka huyu si bure teh teh teh
Unahisi atakua amekumbukia nini kwa Ben huyu binti?
 
teh teh teh kuna mkuu hapo juu kasema kaukumbuka mkwaju..

Ila kwa idadi ya mikwaju iliyopita hapo akiamua kuikumbuka yote anaweza kupiga show daily kwa mwaka mzima bila kurudia
 
Sikuelewi! umesema: MKWAJU, FIMBO, BAKORA,MKONG'OTO, MTWANGIO, MAPIGO, MCHAKAZO, MKASI,MSHALE,MLINGOTI, MTANANGE.........yote haya yako kwa Ben!

Haha haha nko hoi Leo chaaa😀
 
kumbe na Ben n mchaga? lol sikujua
 
Hao wote ni timu moja...shonza anafanya maigizo tu hapa....mwenye macho haambiwi tazama
 
Huyu BEN SAANANE kila siku huwa namwambia kule FB kuwa yeye kisiasa bado kabisa.
Tatizo la CHADEMA ni kuwa ukishakuwa na uwezo wa kupiga kelele, kutukana na kupandikiza chuki basi from that point unapewa cheo cha UKAMANDA.
Kuna kichaa mwingine tena wanamwita GOODLUKIES GOOD huyu naye akili yake kama ya BEN japo yeye umri umeenda ila mambo anayoyafanya ni kama haya haya ya BEN.

CHADEMA mmegeuza siasa kama mitaji yenu ya kutokea kwa kisingizio cha ukombozi kwa kuwalaghai watanzania wasioweza kuchanganua mambo hasa ya kisiasa ambao huamini kuwa kweli CHADEMA ni mkombozi wao kitu ambacho ni utapeli na ulaghai wa hali ya juu.

CHADEMA limegeuka kuwa genge la kujipatia pesa kwa hawa WACHAGA wa Kilimnjaro ambao kimsingi hawana vision y kisiasa bali kujipatia pesa za ruzuku toka serikalini.

Nawasisitiza watanzania waelewe kwanza kuwa sera za CHADEMA zilitungwa na Prof. Kitila Mkumbo, strategic planer wake alikuwa Mh. Zitto Zuberi Kabwe ambao kwa sasa wote wako ACT WAZALENDO.

Ni dhahiri kuwa kwa sasa watanzania wanapaswa kujifunza kitu juu ya hiki chama laghai cha CHADEMA.

CCM uozo, CHADEMA uozo. Karata imebaki moja tu mikononi mwa watanzania nayo ni ACT WAZAKENDO
 
Ben saanane anafanana sana na Zitto kabwe, kama atafanikiwa kuupata Ubunge mta Prove if I'm right or not. Wote wana akili sana na nyingi, Tatizo lao ujuaji mwingi, over confidence na kinyongo
 
Back
Top Bottom