Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

UMEHAMIA CCM UKAWA MBUMBUMBU KABISAA HATA KULETA HOJA ZA MSINGI HUWEZI km hataki kuongea na ww wamlazimisha? gamba na gwanda havikai pamoja we mpigie mwigulu ndo saiz yako na ubunge wa saa8 haukuusu muache apambane anavojua yy
 
Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.

Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.

Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.

Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.

Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.

Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
Kkrapppp
 
Tumekuelewa vizuri mke wa zito.u first lady huupati kwa njia hii,bwanaako zzk alishakuwa msaliti na usaliti wake umeandikwa duniani na jehabam,so sahau kuwa first lady kupitia kwa zzk pia kuwa mwangalifu asijekusaliti na wewe maana dhambi ya usaliti inaendelea

Angalia sana wewe senge unapokuwa unajibu hoja za wanaume!
Na kama umeshazoe kushikwa matako pelekea mashoga wenzio wakakushike!
 
wewe ni aduo namba moja wa Ben,Kama ulidiriki kumsingizia kwamba alikuwa na sumu ya kumuua zitto,do you think he can trust you any more.
wewe by that time ulikuwa ukizurura na mwigilu na Ku spend nae good times,mwishobwa siku mkawa mnawasingizia vijana wa chadema kwamba wamemwagia kijana wa watu tindi Kali,do you think you worth trust in the society ?
wewe Juliana kwa kushirikiana na heartless goons wenzako mliwasingizia yuke kijana wa Bk na wenzake kuminywa goroli zako na police in the name of politics ,do you think Ben can trust you anymore ?
I concur with Ben,people like you are easy going and wepesi kusahau,auna vision sasa wa nini kushitikiana na MTU Kama wewe?
Juliana kwa yote ulio wafanyia vijana wa chadema kupitia kwa mwigilu and state machineries ,wewe ni wa kuogopwa Kama ukimwi,hufai na namshauri Ben aku block kabisa,unaketa urafiki fake ili upadate jinsi kumsaliti tena.
vipi mbona uambatani na mwigilu tena,au ndio ule usemi usemao use and dump.

Nimemshangaaa sana kumlalamikia kuwa Ben hapokei simu zake
 
Huyu BEN SAANANE kila siku huwa namwambia kule FB kuwa yeye kisiasa bado kabisa.
Tatizo la CHADEMA ni kuwa ukishakuwa na uwezo wa kupiga kelele, kutukana na kupandikiza chuki basi from that point unapewa cheo cha UKAMANDA.
Kuna kichaa mwingine tena wanamwita GOODLUKIES GOOD huyu naye akili yake kama ya BEN japo yeye umri umeenda ila mambo anayoyafanya ni kama haya haya ya BEN.

CHADEMA mmegeuza siasa kama mitaji yenu ya kutokea kwa kisingizio cha ukombozi kwa kuwalaghai watanzania wasioweza kuchanganua mambo hasa ya kisiasa ambao huamini kuwa kweli CHADEMA ni mkombozi wao kitu ambacho ni utapeli na ulaghai wa hali ya juu.

CHADEMA limegeuka kuwa genge la kujipatia pesa kwa hawa WACHAGA wa Kilimnjaro ambao kimsingi hawana vision y kisiasa bali kujipatia pesa za ruzuku toka serikalini.

Nawasisitiza watanzania waelewe kwanza kuwa sera za CHADEMA zilitungwa na Prof. Kitila Mkumbo, strategic planer wake alikuwa Mh. Zitto Zuberi Kabwe ambao kwa sasa wote wako ACT WAZALENDO.

Ni dhahiri kuwa kwa sasa watanzania wanapaswa kujifunza kitu juu ya hiki chama laghai cha CHADEMA.

CCM uozo, CHADEMA uozo. Karata imebaki moja tu mikononi mwa watanzania nayo ni ACT WAZAKENDO

Chuki za kikabila hizi hazifai mkuu.Umefilisika
 
Shonza umeeleza kama Ben anania njema,atakushukuru kwani ushauri kama huo hutolewa kwa mtu anayemjali rafk,ndg na hata jamaa wa karbu.
 
Eti simu angu hapokei? apokee iwe nn?au unataka kumchonganisha na mwigulu?au mwigulu kashakutema?

Tuwe na desturi ya kujibu hoja hata kama ni pumba au kama huwezi ni bora kuwa kimya,kwa nini mhusika Ben mwenyewe asijibu badala yake mnasaidia kujibu navyomjua Ben anaweza na hili ni dogo sana kwake,ila masuala mengine ya undani au chuki za watu fulani si vizuri yaletwe humu jukwaan tena jukwaa la siasa .
 
Mmeshafanya naye practical ya Biology?
Maana nimesoma Psycology, nimegundua kuna ukuaribu ambao umeutamani sana, hata kama sio sasa inawezekana ikawa siku zilizopita!
Na uko tayari ndiomana,,,,,,,''simu yangu hapokei''
 
Juliana Shonza kibwetere wewe huna cha kumshauri kamanda ben. wewe wa siasa uchwara utashauri nini wewe kinyamkera cha ccm!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom