Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo
Unadai una msimamo na kuabudu unachokiamini lakini hapa chini unajipinga mwenyewe!!
SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI
Contradiction at its best!
 
Juliana Shonza uliwezaje kuwa na rafiki tena ukamfanya kama ndugu na zaidi ya ndugu mtu ambaye leo unasema ana vinyongo na uadui? Je nitakosea kuwa na wewe una hulka hio? maana Waswahili walisema, Nionyeshe rafiki yako nami nitakueleza tabia yako!!!!! MANI
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi utafungwa sasa hivi, maana makombora yanayorushwa hapa Bengaz cha mtoto..!!

Nimecheka mimi leo jamani duuh, Ama kweli usiombe ukachukiwa na waliokupenda..!! Masikini Julie wa watu... Akigeuka huku, fimbo, huku bakora, kule ngumi, hapa teke...!! Amejichokea mdada wa watu utafikiri chama chake ccm. Sasa Dada yangu Juliana Shonza, nani kakudanganya Ubunge wa viti maalum unapatikana hapa Jf tena kwa kupalamia Wapinzani wako kwa kigezo cha kutoa Ushauri?

Ona sasa makaratee unayorushiwa hapa Hivi umeshindwa kukishauri chama chako kitokke kwenye Dilemma kiliyonayo hii leo mpaka ukawarukia kina Ben?

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Hivi mme wako akisikia unamuhulixia mwanaume mwingine wewe unajisikiaje?kabda umeolewa na kumfanya zezeta.

swissme
 
Juliana Shonza

Ben hajawah kuwa mwanaharakati hata siku moja-ni opportunist na alikuwa anadhan CDM watamuona /wata-mvalue na hivyo kumfikiria uongoz lkn badala yake wamekuwa wakimwaga hata pale anapovua aibu na kujiingiza kwny kinyang'anyiro akidhan atapata uongozi. baada ya kuona ndoto zake zinafifia na umri unazidi kwenda na maisha yame-mtight sasa kaona ajiingize kwny kuomba ridhaa ya wananchi

mwanaharakati huwa haombi-huwa anaitwa na kupewa, huyo Ben ni msaka tonge tu kama wenzake kwa sura hiyo ya Uanaharakati, na pia hawez kusimama yeye mwenyewe na akitaka kujipima yeye ameongoza vita ya watu mbalimbali kufukuzwa ndan ya Chama na kwa kuwa wenzake tayar walikuwa wanajua nin wanaenda kufanya-huko pia wameshamiri sana sana na yeye ameendelea kubaki alivyo
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanamke mbona hatulii na ndoa yake? Si ameolewa huyu, sasa Ben wa nini tena mama?
 
Ha ha haa...yaani nimecheka vibaya sana leo!! Hizi siasa hizii...!! Pole sana Juliana umeingilia mlango mbovu, nakushauri siku nyingine ukitaka kumshauri X wako ingia MMU kule utapata support kubwa!!

Ila Ben namna hii sio bhanaaa hata simu jamani!!?? Aombaye msamaha husamehewa japo si lazima ku-resume!! Ha ha ha....

mamaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hebu kalale huko.. janja ya kutaka umaarufu tumeishtukia..
 
Back
Top Bottom