Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

Na wewe nakushauri siasa sio kupayuka na kutaka huruma kwqa watu. Siasa sioundumila kuwili unauma na kupuliza. Siasa sio unafiki to the maximum level kama uliokua nayo..... Siasa sio ujanja ujanja.
Nakushauri tazama njia ya siasa kama unaiweza na kama huiwezi basi achana nayo sio lazima wote wafike kaanani unaweza ishia jangwani tu.
 
hahahahaha....LENGO UNATAKA KUTUAMBIA KUWA UNAMJUA BEN...YAANI AMEKUJUA....NA MKAJUANA...kwa HIO UNAMPIGIA SIMU KWA MINAJILI YA "KUJUANA"

Sasa ushauri wangu kwenye siasa usiendekeze mapenzi
Umemaliza mkuu umenifanya niahirishe nililotaka kukoment
 
Endelea kumpigia, atapokea tu.
Ikishindikana mpeleke kwa paroko
 
Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.

Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.

Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.

Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.

Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.

Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
Bali siasa ni dili za kimapenzi kama ulizofanya!
 
UMENENA VYEMA NDG HAKA KAJAMAA KUNAKIPINDI KALIDANGANYA HAPA KATAHAMA CHAMA BAADA YA MASAA 72,, LAKINI MPAKA SASA KAMEKAA KIMYA...
SIASA NI SAYANSI WENGI WALIKIMBIA SAYANSI KWA HYO HATA SIASA PIA WATAKIMBIA
 
nasikitika wachangiaji wengi ni wapumbavu wenye silka za kibavicha.
ila BEN ni kijana MWENYE MATATIZO MAKUBWA YA KUTOAMINIKA.
amini nawaambia. hata FREEMAN MBOWE anaishi na huyu dogo kimagumashi
Mkuu Nostradamme hebu jikumbushe ulisema nini hapa kuhusu mtu huyu, hivi ukitafutwa sasa kueleza ulimaanisha nini wakati uliandika, na nini kilichotokea utaweza kweli kujitetea na kuchomoka kuwa huusiki?.

notradammeJF-Expert Member
[HASHTAG]#472[/HASHTAG]
Mar 21, 2013

Kuchukiwa au kupendwa na wewe kuna hasara au faida gani kama maelezo uliyotoa hapa juu ndiyo busara na weledi wenyewe?
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio"

Nauliza tuu

Paskali
 
s
Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.

Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.

Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.

Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.

Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.

Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
kumbe saanane yuko rombo anafanya siasa.
 
Alishaonekana maana Leo ndo naona Uzi wake tangu alipoanza kutafutwa lo siasa bhana mbaya sana
 
Pascal Mayalla hivi Mtukufu alisema Mayala ni njaa kikwao?.Mkuu punguza kujikomba wewe unaheshimika kwa jamii
Pole sana!, laiti ungalijua!, ni level tuu ya uelewa!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, na kuna wanaosoma lakini hawaelewi!.
Paskali ni yule yule, juzi, jana na leo!.
P.
 
Hebu ngoja kukuche nirudie kukusoma tena maana nimeamka nazo
 
Back
Top Bottom