Namsalimu Husninyo.

Namsalimu Husninyo.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,429
Napenda kumsalimu Spanish lady na kumtakia weekend njema na wiki ijayo njema, namwombea afya njema na furaha tele,ni mimi Uporoto nikiwa safarini kuelekea Mpwapwa.:wave:
 
Kwakuwa Husninyo naona yupo salaam zitakuwa zimemfikia kaamua kunichunia,poa tu.
 
Dah! Nilikuwa wapi hizi salamu sijaziona.
Karibu mpwapwa. Huku kuna bahari na mito. Tutakula gud tym mwanzo mwisho.
 
Kwakuwa Husninyo naona yupo salaam zitakuwa zimemfikia kaamua kunichunia,poa tu.

nipo uporoto wangu.
Salamu zimefika.
Ngoja niprint hii page kwa ukumbusho wa wajukuu wangu.
 
nami napenda kumwambia husninyo kupitia sredi hii kwamba namzimikia , nikienda chafya namuona kwenye makamasi, nimekonda mpaka bukta linapwaya kwa kumuwaza yeye, nikikoroma sauti inatoa jina lake. mengine nitaelezea post ijayo.

NB: post hii isiwe ni sababu ya kuombana hela ya vocha.
 
hahahahahahahahaha!!
Kloro unajua babu hatibu mbavu.
Khaaaa!
Mi ninavyokuzimikia hakuna mfano.
Hebu njo mpwapwa na uporoto.
 
Khaa! kamanda utamzimikiaje Hus kwenye thread yangu ? mfungulie yako bana,na hilo la kumuona kwenye makamasi duh! we chiboko.
 
hahahahahahahahaha!!
Kloro unajua babu hatibu mbavu.
Khaaaa!
Mi ninavyokuzimikia hakuna mfano.
Hebu njo mpwapwa na uporoto.
Siwezi kuja nae atataka gharama zote nilipe mimi aliniachia deni pale Uwanja wa fisi nalipa kidogokidogo.
 
Khaa! kamanda utamzimikiaje Hus kwenye thread yangu ? mfungulie yako bana,na hilo la kumuona kwenye makamasi duh! we chiboko.
kamanda hii idea ya kuanzisha sredi tuliijadili pamoja halaf wewe ukajifanya mjanja kuilembea mwanzo. tutabanana kwenye hili hili sredi. kule kuna CPU leo, Lizzy anajifanya kama amesahau spelling za majina yetu.
 
Siwezi kuja nae atataka gharama zote nilipe mimi aliniachia deni pale Uwanja wa fisi nalipa kidogokidogo.
dah! hapa CV imechafuliwa kwa adobe photoshop. senks god Keren Happuch hayupo online.
 
kamanda hii idea ya kuanzisha sredi tuliijadili pamoja halaf wewe ukajifanya mjanja kuilembea mwanzo. tutabanana kwenye hili hili sredi. kule kuna CPU leo, Lizzy anajifanya kama amesahau spelling za majina yetu.
Ngoja nikachafue hali ya hewa kule lol!
 
Back
Top Bottom