Namsalimu Husninyo.

Namsalimu Husninyo.

kamanda hii idea ya kuanzisha sredi tuliijadili pamoja halaf wewe ukajifanya mjanja kuilembea mwanzo. tutabanana kwenye hili hili sredi. kule kuna CPU leo, Lizzy anajifanya kama amesahau spelling za majina yetu.

Haibiwi mtu hapa
Kudadadadadadadadadadadeki ZETU
 
Missed you too my broda uporoto....
Nakuamini my broda Uporoto...ila niliona muda umeenda, mpaka upitie huku kijijini nyumbani nitakuchelewesha....🙂
Hizi broda broda mbona nyingi unataka kuninyima nini smily lol!
 
Back
Top Bottom