Nampenda sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Sir H, Apr 28, 2012.

 1. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kila nikiongea naye,mapigo huenda mbio na hatimaye nabaki kimya!
   

  Attached Files:

 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mwambie mtambuzi akufundishe jinsi ya kufanya.
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu Grace ndo nani? Ana nafasi gani katika taifa hili? Na umeleta hapa picha yake ili tufanye nayo nini? Thread yako haijakamilika! ni mchumba wako au ni mdada wa mtaani kwenu sasa unampenda au ni kitu gani hasa?
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,791
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ??????????????????????????????????:rockon::frusty:
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Asa amekuvutia na nin huyo demu?
   
 6. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  sijui ndo nin sasa....
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 4,853
  Likes Received: 1,766
  Trophy Points: 280
  Me nljua ni mwnaume,
   
 8. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wakati unaposti hii ulikuwa umetoka klabu, eeh?
   
 9. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,130
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Umeanza kupenda wanaume wenzako sasa? Loh!
   
 10. d

  debito JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  so wot? mbona hueleweki!!!!!!!!!!!
   
 11. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amekupa nini, au ana nini special? kama vile mwanafunzi wa sekondari
   
 12. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,241
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Kama huyo anakupeleka mbio mapigo ya moyo usije ukaja mjin moyo unaweza ukaacha mwili'
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  She is so cute. Achana na hawa wamezoea kuona makurubembe na manyonyo ya kichina. Sasa ungemuacha mtoto wa watu akasoma kwanza amalize shule. Kuwa rafiki wa kawaida kwanza umsaidie kukokotoa. Uko darasa la ngapi?
   
 14. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Muelekeo na Mustakabali wa JF ????????????????!!!!!!!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Ni utoto unamsubuwa akikuwa ataacha.

  Hii ndio JF ya "Great thinkers"!
   
 16. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  kidato cha tano lakin yy yupo kidato cha nne! Ananivutia sana kwa kla idara! I real love her!
   
 17. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Cjui hata nikuambie nini unielewe,kiukwl hana utofaut mkubwa na wasichana wengne lakini yy ni mzuri wa sura na ni mpole pia! Zaidi tabia yke hata hapa mtaani kw2 wanamsifia! Mm mwenyewe tangu nianze kumuona cjawah kumkuta kavaa ovyo kama wavaavyo wngne! Hajawah kuvaa suruali,vipedal,minskirt wala nguo zinazoweza kuonyesha wasifu wke wa ndani! I real love her!
   
 18. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Si rahs kunielewa kwani hekima na busara vyote huhitaji uwepo wa Mungu so kunishauri unahtaji uwe na busara zaidi! I real love her!
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Niko ibadani subiri pastor afunge ibada ntarudi tena
   
 20. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nadhani dhambi ya kumpenda mwanaume mwenzangu hata Shetani haifagilii,kama nimefanya makosa kumpenda Grace,i'm ready for anything upon me! I real love her! She convicts my heart!
   
Loading...