Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.
NAWASILISHA"
NAWASILISHA"
Kaka twende nao hivi hivi
Muazini kapatwa 😃Daah eti Sikio la muazini 😂
Kabisa bwasheeKaka twende nao hivi hivi
Nipe namba ya dada ake tusaidiane kazi hiyo nyepesi sanaHapana bado sijawahi ila kwenye sim nampiaga dada ake kisha naongea nae namtania n.k ila nikimwambia nampenda haongei anakaa kimya!
Kabisa mkuu huyu kijana anapendwa wewe angalia hata mwandiko wake tuAtakuwa anajing'atang'ata tu huyo.Mcheki vizuri.
NB😀ah!JF kuna kazi sana.Sasa,huu ni muda wa kuwafundisha vijana wetu namna ya kupiga sounds mademu zao.