Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.
Hahahahahahaha! Mwita umefulia....ndo kujianzishia thread, sitaki kuamini, khaaaa
hii ni kali kuliko. Lol.
Kwahivyo wewe kinachokukera ni ile fact ya kwamba hizo nakupenda anaambiwa mtu mwingine na sio wewe...hahhahaa...mwanaume shababi hawezi akakaa na kuanzisha thread kama hii kwakweli!! Na kwanini FF na si mwingine..ukiona hivyo ana kitu cha ziada humu JF ambacho kinawapendezea watu kwanin mtu asi-express hisia zake juu yake....Mmmmmh,una lako jambo!!
aseeeee!!Ninavyomjua Mwita ni mojawapo ya wana JF ambao mara nyingi ideas zao zina mshiko, sasa hii ya leo ya kuja na hii si kufulia huku jamani.
mpango wao ni kutuhamisha mawazo tuwajadili wao tuache mambo ya msingisasa mwita, rejao, ff si kambi moja? Mbona mnapondana?