Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

kuna tetesi kuwa wewe ni mbunge unawaripresent wanajf wote wanaoongea pumba eikeiei crap.
JF wanapaswa kushkuru sana kuwa na greti thinka kama mimi. yaani kuna mitandao kama saba hivi wananiomba nikamwage ushauri kwenye mablog yao na wamekubali kulipa kodi ya nyumba yangu lakini nimekataa. hapa namwaga maushauri free.
 
hivi uliniambia fesibuku walikutimua eeh.
Reason: sura yako haiuziki.
 
Back
Top Bottom