Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

mnh mtoa mada si juzi juzi hapa tulikuwa tunakushauri kuiokoa ndoa yako isiyo na mtoto leo unampenda dada judith??? shetani anainyemelea ndoa yako!:tape::tape:
hapana ndugu c kwamba ni shetan,huyu dada michango yake huwa zimesimama na wala c maanish kihvyo!kwel unanifuatilia.
 
Watu wengine bwna,yan kumfagilia mtu inakuwa km ni ttzo flan vle!achen roho mbaya dada judith yupo vzr.
 
kusifiwa rahaaa,unataman ungekuwa ww eti?

Sijatamani kuwa mimi, lakini ni kweli kwamba, mahala husika pa kueleka maombi kama hayo ni PM, kwa sababu hata ukituambia sisi hatuna uwezo wa kumshawishi akupende, at the end of the day yeye ndiye mwamuzi, kwa hiyo ni bora ukaanzia huko kwenye PM halafu mkishakubaliana ndio mtuambie sisi tupambe na kisha tusherehekee. au vipi garmii?
 
ok lukansola,mm elewa sawasawa!
 
Jaman judith ukowapi?mbona hunisaiidii? Kuna baadh ya watu wananiponda eti kisa ukovzri ktk michango yako njo mama nisaidie wananch wacopenda maendeleo yako wananiua.
 
Tuliza mzuka baba,anamalizia research yake kuhusu efficacy ya dawa ya babu wa loliondo.Umkumbuke katika maombi.
 
Jaman huyu dada anayeitwa miss judith huwa namzimia sn hasa anapochangia mada humu jf,huwa c mtu wa kukurupuka na anawasilisha vilivyo binafs huwa anaukonga moyo wangu!miss judith upooo...?

asante sana Garmii kwa kunitia moyo, Mungu akubariki sana mpendwa

Jaman judith ukowapi?mbona hunisaiidii? Kuna baadh ya watu wananiponda eti kisa ukovzri ktk michango yako njo mama nisaidie wananch wacopenda maendeleo yako wananiua.

mi nipo tu, nilikuwa naendelea kuwasoma. pole kwa kushambuliwa vikali na majeshi ya MMU. nadhani wameishajipa haki zaidi ya wengine ya kutumia hili jukwaa kadiri wapendavyo.

wasamehe tu na uwaombee.

asante tena kwa kuthamini maichango yangu. ubarikiwe sana
 
Imekuwa kero na mimi kesho nitaamka nakuanzishia thread Lizzy l.o.l ila seriously this habit its starting to annoy me.

same do i Finest,its too much now! sasa PM sijui zimewekwa za nini! na kama nakupenda Finest why should i publicise here! we can share soooo many constructive things rather than this! :confused2:
 
True Lizzy, mbona mimi nakuzimia sijasema, naona sasa imekuwa ndio fashion, pia kuna ile huduma ya pm kwa nini wasitumie hiyo, maana anayependwa mwingine wanaombiwa wengine.

same do i Finest,its too much now! sasa PM sijui zimewekwa za nini! na kama nakupenda Finest why should i publicise here! we can share soooo many constructive things rather than this! :confused2:

If you love tell the world
 
Watu wengine bwna,yan kumfagilia mtu inakuwa km ni ttzo flan vle!achen roho mbaya dada judith yupo vzr.

Si roho mbaya na hata mimi binafsi namkubali sana,haina maana kuwa tunaposema kuwa thread za aina hii kuwa zimezidi ni roho mbaya ama wivu ila tunajaribu kuweka angalizo kuwa isiwe utaratibu bali ni vema kumwambia mtu PM,naamini wote hapa tunapendana na wengi tuna ambao tunawakubali sana.
Week end njema
 
same do i Finest,its too much now! sasa PM sijui zimewekwa za nini! na kama nakupenda Finest why should i publicise here! we can share soooo many constructive things rather than this! :confused2:
You can imagine watokee watu wengine kama kumi with the same trend mara mwingine atongozwe PM anakuja kuanzisha thread hapa
 
asante sana Garmii kwa kunitia moyo, Mungu akubariki sana mpendwa

mi nipo tu, nilikuwa naendelea kuwasoma. pole kwa kushambuliwa vikali na majeshi ya MMU. nadhani wameishajipa haki zaidi ya wengine ya kutumia hili jukwaa kadiri wapendavyo.

wasamehe tu na uwaombee.

asante tena kwa kuthamini maichango yangu. ubarikiwe sana

Amen, na ww ubarikiwe pia!
 
You can imagine watokee watu wengine kama kumi with the same trend mara mwingine atongozwe PM anakuja kuanzisha thread hapa

Yani niki imagine naona vile itakavyokuwa boredom site! kumi umefanya wachache let say kila mwenye kumfeel mtu of which are many,,,,huh! c tutakimbia!! aki tena inapendeza hii kitu ipungue ama kwisha kabisa.
 
Back
Top Bottom