Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Aisee mi nadhani kama mapenzi ningeyapa kisogo ningekuwa mbali sana too bad imekuwa sehemu ya maisha yangu. Huwa inatokea tu nakuwa kwenye uhusiano na nipo smart sana kwenye kuyathamini ikiwamo kumpenda na kumjali sana partner wangu.

Mpenzi wangu huwa namdekeza sana aisee hata kama nina safari naweza hairisha incase anaumwa. Ni mtu special always ila shida ni kuwa mwanamke ukimfanya priority sana mwishoni mkizoeana anaanza tabia ya kiburi na dharau hasa kwa vile mi sio kicheche so ananijua in and out. Simfichi mpenzi wangu kwa lolote yani im always honest.
Naona makosa kadhaa kwenye maisha yako ya kimapenzi, ukiishi na mwanamke lazima uwe mtu Wa machale mpk utakapo muelewa vizuri, na kama hujamuoa unatoa VP nafasi ya yeye kkfhm in and out, pia viumbe hv Mara nyingi vikiwa ni priority utapelekwa mpk upate ajili, japo sio wote.
 
Sina tabia ya kubadili wapenzi kila week ndio maana mkuu, utaishi vipi na mwanamke miaka miwili au zaidi na asikujue vizuri
 
Ndiyo ilivyo unaweza kuwa smart kwake lakini yeye asidhamini upendo wako, na si wanawake tu hata me wapo hivyo tena wanaoishi pamoja mke akiumwa kawaida tu lakini yeye akiumwa mke anakuwa naye karibu hivyo ni tabia tu kama tabia nyingine
Duh pagumu, mi sasahivi nimeanza weka benchmarks mwanamke akiwa sio romantic nampunguza hata awe mzuri vipi
 
Ni kawaida kwa Mwanaume alafu Ukishamvua kyupii huyo manzi lazima Utaanza kumuona Hana maana tena... Alafu utawagombanisha hao mademu..!! Ukiweza kulaa alafu potezeaa ilaa sio kujidai unataka kuwa nae Serious noo huwezi hizoo ni Genyee tu na mizuka inakusumbua kwa huyo manzi..
 
Mtoa mada ushapenda fuata moyo wako unavyokutuma. Hiyo sauti ya mkojo inaelekea umeipenda sana siku nyingine mweleze kuwa ulipenda sauti ya ule mkojo anaweza akakurekodia uweke kama ringtone kwenye simu yako
 
Ubaya wa shetani ukishafanya dhambi anakuacha peke yako na unajilaumu y nilifanya vile
 
Unaweza toka nae kama hujui lengo na huoni dalili na inategemea mnatoka kwenda wapi. Kwa mfano shemeji mnafanya kazi karibu anaweza kukualika lunch siku moja. Ila kukualika kinywaji usikh afu asemw usimwambie shoga ako jua maraya huyo anataka kuweka chapa
Yan kitendo cha kutoka tu na mpenz wa mwenzio inabd mweny mpenz wake ajue,either apew taarifa na shost au apew taarifa na uyo mpnz...lakin hii ya kutoka mara ya kwanz kimya sijui,ndo mazoea yanapozid badae wanakulana.Unatoka na mpnz wa mtu unamtaarfu mwenzio "shost ee niko na shem hapa jiran na kazin tunapata lunch" au "bby eee niko na Jolie hapa tunakula" ivo tu,hata kuaminika mtaaminika
 
Hivi siku hizi kuna kuaminiana na mashost hivyo,mie naona hata huyo dem wake ndiyo walewale, Jolie Jolie mpenzi wa shost anakuita si lazima utauliza best yangu yupo wapi au aniambie nimtafute sawa lakini kwenda kukaa 2 mmm wote hamna kitu hapo ni wote viruka njia.
Na watakulana hao,ndo hapo shost anapompindua mwenzie anaolewa yeye
 
Yan kitendo cha kutoka tu na mpenz wa mwenzio inabd mweny mpenz wake ajue,either apew taarifa na shost au apew taarifa na uyo mpnz...lakin hii ya kutoka mara ya kwanz kimya sijui,ndo mazoea yanapozid badae wanakulana.Unatoka na mpnz wa mtu unamtaarfu mwenzio "shost ee niko na shem hapa jiran na kazin tunapata lunch" au "bby eee niko na Jolie hapa tunakula" ivo tu,hata kuaminika mtaaminika
Eeh lazima useme
 
Back
Top Bottom