Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Na yey huyo ana rfk yke atakuwa shemela wako alf na yy atpenda compny lko hahaaa alf atakunya kbsa mbele yko utapenda saut ya uharo unapotok bx kuanzia mda huo utamuwaza yy tu
 
Yan kitendo cha kutoka tu na mpenz wa mwenzio inabd mweny mpenz wake ajue,either apew taarifa na shost au apew taarifa na uyo mpnz...lakin hii ya kutoka mara ya kwanz kimya sijui,ndo mazoea yanapozid badae wanakulana.Unatoka na mpnz wa mtu unamtaarfu mwenzio "shost ee niko na shem hapa jiran na kazin tunapata lunch" au "bby eee niko na Jolie hapa tunakula" ivo tu,hata kuaminika mtaaminika

M lazima nitamind tu ....kwanza kwanin wakale lunch pamoja tena kwa kupanga ?? Maybe itokee tu amemuona hiyo sehemu ila sio wamepanga kwenda lunch mxiieew
 
Eeh lazima useme

Hehehehe mim asiniambie tuu maana itabid ajielezee ilikuwaje hadi wakapeana namba mpaka kufikia miadi ya kutoana out ....
How could my beb amuombe rafikAngu for a drink-up mxiiew !!! Hata kama nimekataa kutoka siku hiyo si akanywe na washkaji zake yaani over all the people ndo achague kunywa na rafikAngu ? Hii ni red flag kubwa saana , nitavuruga vuruga nihakikishe hawawi pamoja afu na huyu jamaa namuacha maana he’s not a man enough
 
M lazima nitamind tu ....kwanza kwanin wakale lunch pamoja tena kwa kupanga ?? Maybe itokee tu amemuona hiyo sehemu ila sio wamepanga kwenda lunch mxiieew
bidada nae kawa mvivu mpaka kafanya connection ya mtu na shemejie uweeeeee mambo haya staki kabisa
 
Hehehehe mim asiniambie tuu maana itabid ajielezee ilikuwaje hadi wakapeana namba mpaka kufikia miadi ya kutoana out ....
How could my beb amuombe rafikAngu for a drink-up mxiiew !!! Hata kama nimekataa kutoka siku hiyo si akanywe na washkaji zake yaani over all the people ndo achague kunywa na rafikAngu ? Hii ni red flag kubwa saana , nitavuruga vuruga nihakikishe hawawi pamoja afu na huyu jamaa namuacha maana he’s not a man enough
Kaaabisaaaa
 
Dah...hakuna kitendo kitamu kama cha kumla shemeji.....tena kipombe pombe ningemkula kabisa hasa hiyo sauti ya mkojo huwa inanichanganya sana....tatizo inaweza isijirudie na utajilaumu sana
 
Aisee mi nadhani kama mapenzi ningeyapa kisogo ningekuwa mbali sana too bad imekuwa sehemu ya maisha yangu. Huwa inatokea tu nakuwa kwenye uhusiano na nipo smart sana kwenye kuyathamini ikiwamo kumpenda na kumjali sana partner wangu.

Mpenzi wangu huwa namdekeza sana aisee hata kama nina safari naweza hairisha incase anaumwa. Ni mtu special always ila shida ni kuwa mwanamke ukimfanya priority sana mwishoni mkizoeana anaanza tabia ya kiburi na dharau hasa kwa vile mi sio kicheche so ananijua in and out. Simfichi mpenzi wangu kwa lolote yani im always honest.
Jomoniiii
 
Habari wana JF,

Mwenzenu najiona tofauti tangu mpenzi wangu anitambulishe rafiki yake nimetokea kumpenda sana rafiki yake yaani its love at first sight mpenzi wangu yuko poa sana lakini naona sasahivi sijui tumezoeana sana maana kila saa ni ubishi na ushindani hakuna kusikilizana.

Kugombana kila wakati kwa vitu vidogo inafikia wakati siku hata tatu zinapita hatuongei sasa nimeichoka hali hii nikaa chini na mwenzangu nikajishusha ili twende sawa lakini cha ajabu mwenzangu akaniona mimi mjinga eti ananiuliza nitaomba msamaha mpaka lini?

Nikaamua nitulie tu ili niende nae sawa sasa naona yeye sasahivi ndo anakuwa mnyonge baada ya mimi kupiga sana story na rafiki yake yaani shemeji yangu kwasababu yeye hatupigi story kivile.

Na shemeji yangu ni very charming tunachat tunapigiana simu sasa weekend iliyopita nilikua nimekaa zangu bar moja hivi mitaa ya Chang'ombe nikamuita mwenzangu aje tuchill tunywe kidogo then tusepe lakini akaniambia hawezi kuja yupo kwa marafiki zake anapiga story nikasema poa.

Ikabidi nimcheki rafiki yake nae akaniambia yuko around Chang'ombe nikamualika nilipo na kweli akaja tukawa tunakunywa na kupiga story nikawa namuelezea matatizo ya rafiki yake cha ajabu akawa ananipa moyo kwamba yataisha.

Tukanywa mpaka mida ya saa nne usiku tukawa tunarudi huku tunapiga story kufika njiani mkojo ukawa umembana na mitaa ile hakuna sehemu za kujisaidia nikamwambia akakojoe tu kwenye kichochoro kwenye kona ya kwenda kwao akasema hawezi mkojo umembana sana basi tukatembea kidogo ghafla nikaona kapandisha gauni lake fupi akavua chupi akakojoa mbele yangu huku ananiangalia usoni anacheka cheka kilevi, akafungua pochi akatoa tishu akajifuta akavaa chupi tukasepa.

Basi kitendo kile kilinisisimua sana mwili kusikia ile sauti ya mkojo ukianguka chini na jinsi anavyoniangalia nikamsindikiza mpaka kwao nikarudi kulala na mawazo basi tangu siku ile ninamfikiria yeye tu kila wakati yani na yeye amezidisha ukaribu na mimi kiasi kwamba hadi nataka tuvunje ushemeji.

Ananiomba tutoke tena kama sitajali kwasababu huwa anapenda kampani yangu dah nipo njia panda.

Acha tamaa digo
 
Sasa mkuu uko njia panda ya kwenda wapi ?by the way huyo anataka kukupa hilo papa wewe unajichelewesha siku ambayo alikwambia anataka kukujoa na akakojoa mbele yako alikuwa anataka umkaze

Note matatizo na demu wako usimwambie mtu wa pembeni kaeni muyamalize wenyewe
 
Back
Top Bottom