dah kuna nyimbo flan ya bongo flavor za enzi zile ina kiitikio kama hich naitafuta sana aisee, bora peke yanguuDuuu...bora niwe peke yanguuuuu..
NZi za radio Tanzania.dah kuna nyimbo flan ya bongo flavor za enzi zile ina kiitikio kama hich naitafuta sana aisee, bora peke yanguu
Sasa utaacha wangapi kaka yangu, mengine tunarekebishana [emoji39] [emoji39] [emoji39] hakuna mkamilifuDuh pagumu, mi sasahivi nimeanza weka benchmarks mwanamke akiwa sio romantic nampunguza hata awe mzuri vipi
SureInauma kinoma.. Daah
Ujinga ni kujitesa na mtu asiejua mapenzi ni niniSasa utaacha wangapi kaka yangu, mengine tunarekebishana [emoji39] [emoji39] [emoji39] hakuna mkamilifu
Na anaolewa yeye kweli kabisaNa watakulana hao,ndo hapo shost anapompindua mwenzie anaolewa yeye
Na huwezi jua ni kimya kimya tu unashitukia posaM lazima nitamind tu ....kwanza kwanin wakale lunch pamoja tena kwa kupanga ?? Maybe itokee tu amemuona hiyo sehemu ila sio wamepanga kwenda lunch mxiieew
Ndiyo inauma kweli, na umeisababisha mwenyewe hata wakumtupia mawe hakunaBado inauma mkuu sana....coz huwa ni majuto sasa
Mapenzini tunatesana sana, kuna mbaba yeye mke akiumwa alikuwa hana muda akirudi kazini anaoga huyo kuchepuka, siku1 akaumwa yeye halafu mke ni nurse naye akampotezea baba alitoa machozi kaenda kumshitaki mke akatema nyongo baba akaulizwa vipi hapo anisamehe basivsitarudia tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitu hivi vipo hadi kwenye ndoa kaka yanguUjinga ni kujitesa na mtu asiejua mapenzi ni nini
Si kidogo makubwa hasaHii dunia ina mambo sana
Af hapo mwanaume atakuja kuonekanaNa anaolewa yeye kweli kabisa
Yan unampenda mtu na yySi kidogo makubwa hasa
Kumbe na ww n mshengaNZi za radio Tanzania.
Hakuna anaye ona kosa lake ila la mwenzieAf hapo mwanaume atakuja kuonekana
Mbaya
Ndiyo hivyo me safi ke shida, wengine me shida mke safi nikama kubadilishana ili tubebeane misalabaYan unampenda mtu na yy
Hana time na ww na yupo
Anaekupenda lkn ww huna time nae
Acha tu msalaba wa hvNdiyo hivyo me safi ke shida, wengine me shida mke safi nikama kubadilishana ili tubebeane misalaba
Aisee ni hatari, tupendane tu basi sio ishu kufanyiana makusudiMapenzini tunatesana sana, kuna mbaba yeye mke akiumwa alikuwa hana muda akirudi kazini anaoga huyo kuchepuka, siku1 akaumwa yeye halafu mke ni nurse naye akampotezea baba alitoa machozi kaenda kumshitaki mke akatema nyongo baba akaulizwa vipi hapo anisamehe basivsitarudia tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitu hivi vipo hadi kwenye ndoa kaka yangu