Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Kwa mfano namba ya mpenzi wa mwenzio yanini,
ujinga kama ujinga mwingine eti unawapa vipi marafiki wamzoee mpenzi wangu
Vitu vingine halafu unakuta micharuko warembo
Lakini yawezekana hategemei yeye pekeyake kuna vifurushi vingine
Huko si ni uswahilini kupiga story na mashost
Si ndo hapo jamani ushosti umekua wa mawenge siku hizi,mi kwa kweli shost kuzoeana na shemeji yake sitakubali kuiruhusu,labda wakutane huko kisiri siri nisijue,na nikijua panageguka mererani,patachimbika bila jembe
 
Halafu hapo shost atakaa kimya hata asiseme kama jana nilkua na shem mahali,akishaanza kuweka siri kwamba walitoka out bas ujue hata shemej mtu yuko tayar kumpindua shost ake
Unaweza toka nae kama hujui lengo na huoni dalili na inategemea mnatoka kwenda wapi. Kwa mfano shemeji mnafanya kazi karibu anaweza kukualika lunch siku moja. Ila kukualika kinywaji usikh afu asemw usimwambie shoga ako jua maraya huyo anataka kuweka chapa
 
We piga tu...Utakua sio wa kwanza au wa mwisho duniani.... Huwezi teseka na mtiririko wa mkojo hivi hivi , fanya mambo.
 
Unaweza toka nae kama hujui lengo na huoni dalili na inategemea mnatoka kwenda wapi. Kwa mfano shemeji mnafanya kazi karibu anaweza kukualika lunch siku moja. Ila kukualika kinywaji usikh afu asemw usimwambie shoga ako jua maraya huyo anataka kuweka chapa
Exactly
 
Unakua kaa demu bwana,yaan mi kitendo cha kumwita dem tuu aje anipe kampani yaani tayari kashajua lengo langu na kama amefikia hadi anakojoa mbele yako yaani kitendo cha kumwacha salama hadi leo unanipa ukakasi kua wewe ni dume kweli au laa..silembagi mimi,enzi zangu za chuo nilitafuna marafiki wawili wa demu wangu ila alikuja jua tukaachana ila nilimpenda sana huyo dem wangu

Inshort kiliniuma sana kuachwa na huyo dem,..nilijuta
Haaa haa ..hueleweki sasa mkuu
 
Back
Top Bottom