Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Unaweza toka nae kama hujui lengo na huoni dalili na inategemea mnatoka kwenda wapi. Kwa mfano shemeji mnafanya kazi karibu anaweza kukualika lunch siku moja. Ila kukualika kinywaji usikh afu asemw usimwambie shoga ako jua maraya huyo anataka kuweka chapa
kohhh koohh kohhh.....mwendo wa chapa" tu
 
Naona makosa kadhaa kwenye maisha yako ya kimapenzi, ukiishi na mwanamke lazima uwe mtu Wa machale mpk utakapo muelewa vizuri, na kama hujamuoa unatoa VP nafasi ya yeye kkfhm in and out, pia viumbe hv Mara nyingi vikiwa ni priority utapelekwa mpk upate ajili, japo sio wote.
well indeed"""ndio maana mapenzi kwangu sio 1st priority.... maana nina mambo mengi muhimu ya kufanya ambayo huwa yananipa stress tosha ...so huwa sihitaji kubeba mizigo mingine ya stress za kujitakia....ukijihisi umenichoka anza mbele"" tusichoshane""' kwanza huwa siwezagi kuvumilia Tabia mbaya"" yaani hiyo talent ni menyimwa aisee""" nahisi kuishi kwenye hili jiji kumenisaidia aiseee maana mahusiano ya vijana wa dar nipasua kichwa balaaa...kama ukiwa guru hakuna uchi utakao kaa ukupotezee time
 
Ukitest mitambo mkuu,hiyo dhambi itakuandama naww lazima hata kama ni miaka 20 watakutestia tu,so kuwa na busara na baki njia kuu
 
Ulvosimulia anavojoa uku anakutazama anacheka uuhh mie uku mambo yashainuka... Long live themej
 
Proceed mkuu, huyo anayejitia ukali achana nae ndo apate akili
 
Back
Top Bottom