Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Si ndo hapo jamani[emoji23] ushosti umekua wa mawenge siku hizi,mi kwa kweli shost kuzoeana na shemeji yake sitakubali kuiruhusu,labda wakutane huko kisiri siri nisijue,na nikijua panageguka mererani,patachimbika bila jembe
Hivi siku hizi kuna kuaminiana na mashost hivyo,mie naona hata huyo dem wake ndiyo walewale, Jolie Jolie mpenzi wa shost anakuita si lazima utauliza best yangu yupo wapi au aniambie nimtafute sawa lakini kwenda kukaa 2 mmm wote hamna kitu hapo ni wote viruka njia.
 
Halafu gf wake nae hana akili. Mi rafiki zangu wote najua tabia zao. Sasa huyo gf kashindwa kujua rafiki ake ni kicheche na keshafanya kosa la kuwaweka karibu
Hamna kitu kabisa huwezi wapa uhuru marafiki kiasi hicho kwa bf wake, ngoja wapinduane tu wote mantanange
 
Hamna kitu kabisa huwezi wapa uhuru marafiki kiasi hicho kwa bf wake, ngoja wapinduane tu wote mantanange
Kuna watu wanaamini marafiki jamani na mimi ni mmoja wapo ila mazoea hayo ni mtu mwenyewe tu kujitambua. Wanaume tunawajua akili zao linapokuja suala la K. Kama shoga sio ataliwa tu
 
Kuna watu wanaamini marafiki jamani na mimi ni mmoja wapo ila mazoea hayo ni mtu mwenyewe tu kujitambua. Wanaume tunawajua akili zao linapokuja suala la K. Kama shoga sio ataliwa tu
Na ataliwa kweli kama mtu anajisaidia mbele yake naye eti kapata muwasha washa hamna kitu hapo, me wenyewe wa siku hata mdogo wa mke mpenzi anapitia itakuwa shost
 
Inategemeana na mazingira, unaweza kuta mwanamke hakuthamini kama rafiki yake, ukimweleza haelewi, badala ya kuwa ni faraja kwako anakuwa kero, kwann nisimtamani rafiki yako? Kama unavyovishindwa yeye anaviweza.
Apo ndipo changamoto za mapenzi zinapoanzaga, mkiikubali hali ya kuzoeana sana mapenzi yanakuwa sio priority bali kuwa pamoja tu ndio kitu mtu anajali. Mahaba yanakuwa hayapo ila mradi mtu anajua flani ndio bf wake au flani ndio gf wake kimazoea hamna cares tena no calls..a lot of stupid excuses..kutokujali hisia za mwenzio. Hapo kutatokea mengi mtu haogopi kukupoteza mwisho wa siku hisia na mbegu ya usaliti ndio inaanza kumea kisha mtu akiachwa anaanza kulia lia.

Kukwazana hakuishi hamna uspesho wowote yani siwezi sahau siku naumwa namwambia ex wangu mmoja alieko town akitoka job akiwa anarudi apitie pharmacy anichukulie dawa flani akapitiliza mpaka home bila kuja na dawa halafu ananjibu hajaona pharmacy kwanza alikuwa amechoka sana.
 
Pole Extrovert duu huyo dem wako balaa, au wewe akiumwa ulikuwa haumjali akiwa anaumwa?maana wengine hulipa kisasi kimya kimya
 
Sasa kama kwa maelezo tu gf wake anaonekana hajali kwa sababu mazoea yamezidi labda, kwanini mtu uteseke kumbembeleza mtu ambae hakujali madam mumu?
Umemchoka tuu mwenzio huna lolote,...na shemejio nae hana adabu,full stop
 
Pole Extrovert duu huyo dem wako balaa, au wewe akiumwa ulikuwa haumjali akiwa anaumwa?maana wengine hulipa kisasi kimya kimya
Aisee mi nadhani kama mapenzi ningeyapa kisogo ningekuwa mbali sana too bad imekuwa sehemu ya maisha yangu. Huwa inatokea tu nakuwa kwenye uhusiano na nipo smart sana kwenye kuyathamini ikiwamo kumpenda na kumjali sana partner wangu.

Mpenzi wangu huwa namdekeza sana aisee hata kama nina safari naweza hairisha incase anaumwa. Ni mtu special always ila shida ni kuwa mwanamke ukimfanya priority sana mwishoni mkizoeana anaanza tabia ya kiburi na dharau hasa kwa vile mi sio kicheche so ananijua in and out. Simfichi mpenzi wangu kwa lolote yani im always honest.
 
Sasa kama kwa maelezo tu gf wake anaonekana hajali kwa sababu mazoea yamezidi labda, kwanini mtu uteseke kumbembeleza mtu ambae hakujali madam mumu?
Hawa inaoneka hawajaliani...kwa maana washachokana tuu wameishina ile hamu ya mapenzi,..of course hata mm MTU asonijali siwezi kumjali pia lakini si dhambi kubembeleza kwa mustakabali wa penzi lenu kama unaona kuna kubadilika/mabadiliko hata kwa baadae.
 
Moyo huo wanao wachache sana na nadra kukutana watu wawili ambao mnaya value mahusiano kuliko kutafta michepuko pembeni kisha msalitiane.

If you act like grown ups mtatambua kuwa lipo tatizo na mtashughulika kuweka mambo sawa ila ikiwa mmoja anaona responsibility ya kuhuisha penzi ni ya mwenzake tu ye ame relax anafanya anavyojiskia basi hamtafika popote yani. Trust me in that na ndio hayo yanatokea sana kwenye ndoa na kufanya watu wazichukie ndoa zao sana.
 
Barikiwa zaidi[emoji4] [emoji4]
 
TAMAA ZAKO ZITAKUPONZA, HATA HUYU UKIWA NAYE BAADA YA MUDA UTAMCHOKA TU.
BORA ZIMWI LIKUJUALO KULIKO....................................
 
Aisee mi nadhani kama mapenzi ningeyapa kisogo ningekuwa mbali sana too bad imekuwa sehemu ya maisha yangu. Huwa inatokea tu nakuwa kwenye uhusiano na nipo smart sana kwenye kuyathamini ikiwamo kumpenda na kumjali sana partner wangu.

Mpenzi wangu huwa namdekeza sana aisee hata kama nina safari naweza hairisha incase anaumwa. Ni mtu special always ila shida ni kuwa mwanamke ukimfanya priority sana mwishoni mkizoeana anaanza tabia ya kiburi na dharau hasa kwa vile mi sio kicheche so ananijua in and out. Simfichi mpenzi wangu kwa lolote yani im always honest.
Ndiyo ilivyo unaweza kuwa smart kwake lakini yeye asidhamini upendo wako, na si wanawake tu hata me wapo hivyo tena wanaoishi pamoja mke akiumwa kawaida tu lakini yeye akiumwa mke anakuwa naye karibu hivyo ni tabia tu kama tabia nyingine
 
Ukilogwa kumwacha na kumchukua rafiki yake HUTAKAA UWE NA MAISHA YA AMANI
Naongea kutoka kwenye experience, kuna jamaa mmoja alifanya hivyo na kumwoa kabisa,
yule dada akafunga maombi, nakuambia jamaa hukufanikiwa kupata mtoto for 10 years, alipoenda kumwomba msamaha yule dada ndo akapata mtoto on 11 year of marriage. So learn from mistake, settle the despute, stop kuatamani, live peaceful life
 
Back
Top Bottom