KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,293
Huwa unamchota akili demu wako ili ajue umwaminifu, kumbe..Pole sana...
Tulia na wako, hata huyo unamuona tofauti ni kwa sababu hujampata bado...
Ukishampata utamzoea atory itajirudia tena nae unampenda rafiki yake...
Cc: mahondaw
