agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Umecomment leooPeke yako?!!!!
Kila la kheri mkuu huko peke yako
Umecomment leooPeke yako?!!!!
Kila la kheri mkuu huko peke yako
Unajifanya muhunii eee.Hahahaaaaa....
Bado nta-comment kesho
Hapana mkuuUnajifanya muhunii eee.
Tatizo hao mashemeji wawili wote hawajatulia ndo maana wanaitana bar wawili.Haha ndo mana mimi ni marufuku kutambulisha rafiki kwa bebe,halafu uyo mpenz wako anashindwaje lakini kulinda mali yake mpaka rafik anakua na mazoea na shemeji yake kiasi hicho???
Na wewe unawekaje mazoea yaliopitiliza na shemeji yako?
Yani kama ni ushemeji,meseji zinatakiwa kua short and clear....
Mambo shem-poa
Mzima?-mzima
Nilikua nakujulia hali--sawa nashukuru
Hapo mnakua mmemaliza,sasa habari za kuchati siku nzima zinakujaje tena?
Halafu gf wake nae hana akili. Mi rafiki zangu wote najua tabia zao. Sasa huyo gf kashindwa kujua rafiki ake ni kicheche na keshafanya kosa la kuwaweka karibuUmemchoka tuu mwenzio huna lolote,...na shemejio nae hana adabu,full stop
Yani mwenza hao wote wa3 washida kabisaaa,. kila MTU ana lwake hapo.Halafu gf wake nae hana akili. Mi rafiki zangu wote najua tabia zao. Sasa huyo gf kashindwa kujua rafiki ake ni kicheche na keshafanya kosa la kuwaweka karibu
Wewe huyo?Aids kills
Hao wawili ndo washenzi mwenza. Wamemzunguka mwenzao. Ukute bidada ndo anampenda huyo mwanaume kufaYani mwenza hao wote wa3 washida kabisaaa,. kila MTU ana lwake hapo.
Nikusimdikize kwenda kukojoa?Unajifanya muhunii eee.
Yupi sasa mwenza,mwenyewe mwenyewe au???kama ni yeye anaachaje nafasi kwa mwanaume wake kiasi hicho mpka mwenzie anatumia nafasi yake as if yeye ndio mmiliki,...uzembe unam-cost...Hao wawili ndo washenzi mwenza. Wamemzunguka mwenzao. Ukute bidada ndo anampenda huyo mwanaume kufa
Imani tu. Kuna watu wanaamini marafiki zao halafu wanakua hawajui yupi chui yupj mbuzi.Yupi sasa mwenza,mwenyewe mwenyewe au???kama ni yeye anaachaje nafasi kwa mwanaume wake kiasi hicho mpka mwenzie anatumia nafasi yake as if yeye ndio mmiliki,...uzembe unam-cost...
Hahaah,...nyakati hizi sio za kumwachia MTU mzigo wako mwenzangu,watu hawakawii kukimbia nao Imani imetutoka kabisaaa...Imani tu. Kuna watu wanaamini marafiki zao halafu wanakua hawajui yupi chui yupj mbuzi.
Mi wakichukuana poa tu watajua wenyewe na umalaya wao maana siwezi kulinda jitu zimaHahaah,...nyakati hizi sio za kumwachia MTU mzigo wako mwenzangu,watu hawakawii kukimbia nao Imani imetutoka kabisaaa...
Aaahg hawa ma "boifrendi" wetu acha wakulane tuu,.ila mume ntapambana hata nikishindwa lakini ntapambana japo kidogo.Mi wakichukuana poa tu watajua wenyewe na umalaya wao maana siwezi kulinda jitu zima
Utafanyaje mama wakiamua kulana?Aaahg hawa ma "boifrendi" wetu acha wakulane tuu,.ila mume ntapambana hata nikishindwa lakini ntapambana japo kidogo.
Bora tuwe peke etuDuuu...bora niwe peke yanguuuuu..
