Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Nampenda rafiki yake kuliko yeye

Haha ndo mana mimi ni marufuku kutambulisha rafiki kwa bebe,halafu uyo mpenz wako anashindwaje lakini kulinda mali yake mpaka rafik anakua na mazoea na shemeji yake kiasi hicho???
Na wewe unawekaje mazoea yaliopitiliza na shemeji yako?
Yani kama ni ushemeji,meseji zinatakiwa kua short and clear....
Mambo shem-poa
Mzima?-mzima
Nilikua nakujulia hali--sawa nashukuru[emoji23]
Hapo mnakua mmemaliza,sasa habari za kuchati siku nzima zinakujaje tena?
 
Pale shemeji alipokojolea ardhi ilichimbika!!?au palibaki flat tu!!? tuanzie hapo kwanza
 
Mkikutana na marafiki zetu mnawatamani.
Inategemeana na mazingira, unaweza kuta mwanamke hakuthamini kama rafiki yake, ukimweleza haelewi, badala ya kuwa ni faraja kwako anakuwa kero, kwann nisimtamani rafiki yako? Kama unavyovishindwa yeye anaviweza.
 
Hakuna kingine zaidi ya tamaa.
 
Hakuna kingine zaidi ya tamaa.
Usipanic Agatha, hakuna kitu kibaya kama kutembea na rafiki Wa mpenzi wako, pia hakuna jambo lisilozungumzika, tukiwa na tabia ya kupata muda Wa kuzungumza juu ya mahusiano yetu angalau Mara 2 kwa wiki, mambo yangekuwa perfect.
 
Wala sijuagi kupanick.
 
Haha ndo mana mimi ni marufuku kutambulisha rafiki kwa bebe,halafu uyo mpenz wako anashindwaje lakini kulinda mali yake mpaka rafik anakua na mazoea na shemeji yake kiasi hicho???
Na wewe unawekaje mazoea yaliopitiliza na shemeji yako?
Yani kama ni ushemeji,meseji zinatakiwa kua short and clear....
Mambo shem-poa
Mzima?-mzima
Nilikua nakujulia hali--sawa nashukuru[emoji23]
Hapo mnakua mmemaliza,sasa habari za kuchati siku nzima zinakujaje tena?
Kwa mfano namba ya mpenzi wa mwenzio yanini,
ujinga kama ujinga mwingine eti unawapa vipi marafiki wamzoee mpenzi wangu
Vitu vingine halafu unakuta micharuko warembo
Lakini yawezekana hategemei yeye pekeyake kuna vifurushi vingine
Huko si ni uswahilini kupiga story na mashost [emoji28] [emoji28]
 
Habari wana jf.
Mwenzenu najiona tofauti tangu mpenzi wangu anitambulishe rafiki yake nimetokea kumpenda sana rafiki yake yaani its love at first sight mpenzi wangu yuko poa sana lakini naona sasahivi sijui tumezoeana sana maana kila saa ni ubishi na ishindani hakuna kusikilizana.

Kugombana kila wakati kwa vitu vidogo inafikia wakati siku hata tatu zinapita hatuongei sasa nimeichoka hali hii nikaa chini na mwenzangu nikajishusha ili twende sawa lakini cha ajabu mwenzangu akaniona mimi mjinga et ananiuliza ntaomba msamaha mpaka lini?

Nikaamua nitulie tu ili niende nae sawa sasa naona yeye sasahivi ndo anakuwa mnyonge baada ya mimi kupiga sana story na rafiki yake yaani shemeji yangu kwasababu yeye hatupigi story kivile.

Na shemeji yangu ni very charming tunachat tunapigiana simu sasa weekend iliyopita nilikua nimekaa zangu bar moja hivi mitaa ya chang'ombe nikamuita mwenzangu aje tuchill tunywe kidogo then tusepe lakini akaniambia hawezi kuja yupo kwa marafiki zake anapiga story nikasema poa.

Ikabidi nimcheki rafiki yake nae akaniambia yuko around chang'ombe nikamualika nilipo na kweli akaja tukatuna kunywa na kupiga story nikawa namuelezea matatzo ya rafiki yake cha ajabu akawa ananipa moyo kwamba yataisha

Tukanywa mpaka mida ya saa nne usiku tukawa tunarudi huku tunapga story kufika njiani mkojo ukawa umembana na mitaa ile hakuna sehemu za kujisaidia nikamwambia akakojoe tu kwenye kichochoro kwenye kona ya kwenda kwao akasema hawezi mkojo umembana sana basi tukatembea kidogo ghafla nikaona kapandisha gauni lake fupi akavua chupi akakojoa mbele yangu huku ananiangalia usoni anacheka cheka kilevi akafungua poch akatoa tishu akajifuta akavaa chup tukasepa.

Basi kitendo kile kilinisisimua sana mwili kusikia ile sauti ya mkojo ukianguka chini na jinsi anavyoniangalia nikamsindikiza mpaka kwao nikarudi kulala na mawazo basi tangu siku ile ninamfikiria yeye tu kila wakati yani na yeye amezidisha ukaribu na mimi kiasi kwamba hadi nataka tuvunje ushemeji

Ananiomba tutoke tena kama sitajali kwasababu huwa anapenda kampani yangu dah nipo njia panda.
Mwanzo nikipoanza kusoma huu uzi nilifikiri wewe ni Ke kumbe sivyo. Anyway! kwa maelezo yako tu inaonekana wewe ndo tatizo maana umeshindwa kusimama kama mwanaume.
 
Back
Top Bottom