Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

Karibu mana ministry,najivunia kuwa sehemy ya huduma ya mana/mtenda kazi katika huduma yake najivunia kupitia huduma yake nimekua kiimani,na naendelea kukua katika jina la Yesu!
 
Kumbe kuna watu wengi waliobarikiwa na huduma ya Mwakasege? Sasa mbona kuna watu wanaomtukana na kumkejeli mitandaoni kwa kumwita majina yasiyo na staha? Ama kweli mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Mungu aendelee kumtia nguvu mtumishi Wake, Mwl C. Mwakasege. Hata mimi nimebarikiwa sana na huduma yake.
 
Washindwe Kwa jina la Yesu
 
Umeamua kujivika nafasi ya kuamua nani mtumishi wa Mungu na nani mtumishi wa shetani..!

Elewa kitu kimoja upofu wako wa elimu ya dini ndiyo unakufanya ujione kama kuna watu wameumbwa special kumtumikia Mungu.

Natangaza nikiwa kifua mbele kutangaza kuwa mimi ni mkatoliki, na imani yangu ya kikatoliki natambua KUSUDI LA MUNGU NI KUTUUMBA NI HAYA:-

1: TUMJUE
2: TUMPENDE
3: TUMTUMIKIE

Sasa na ndiyo ujue kuwa kila mtu kaumbwa Mungu kwa makusudi maalum haya.
Kuumbwa na Mungu kwa kusudi maalum ni jambo Moja na kuliishi hilo kusudi ni jambo jingine
 
Back
Top Bottom