Hatimaye mrithi wa Mwalimu Mwakasege apatikana

Utawala2025

JF-Expert Member
Oct 20, 2023
330
1,060
Habari.

Ikiwa Mwalimu wa neno wa muda mrefu Christopher Mwakasege amejizoelea umaarufu katika kufanya mikutano takriban mikoa yote Tanzania kwa muda mrefu sasa.

Leo hii nikiwa kama mdau wa JF ninamuona Mahubiri wa Mungu Pastor Tony Kapola anaenda kurithi kiti cha Mwalimu.

WanaJF naombeni mmtie moyo, msimkatishe tamaa kwa kumsema.
 
Habari.

Ikiwa Mwalimu wa neno wa muda mrefu Christopher mwakasege amejizoelea umaarufu katika kufanya mikutano takribani mikoa yote Tanzania kwa muda mrefu sasa.

Leo hii nikiwa kama mdau wa jf ninamuona Mahubiri wa Mungu pastor Tony kapola anaenda kurithi kiti cha mwalimu.

Wana jf naombeni mmtie moyo ,msimkatishe Tamaa kwa kumsema.

Ni wapi Mungu au Mwakasege wamesema wamemrithisha huduma huyo mtu?
 
1. Mwakasege ni mwalimu huru hafungwi na dhehebu lakini tony ni pastor hizo ni karama mbili tofauti

2. Ukiwaangalia waumini wao kuna kitu utapata cha kuwatenganisha

NB huduma ya Mwakasege imekaa inakaribia 30 na hajaanguka, hajalewa sifa, hana scandal na huduma inazidi kukua. Hilo pekee linatosha kumpa heshima kubwa sana
 
Habari.

Ikiwa Mwalimu wa neno wa muda mrefu Christopher Mwakasege amejizoelea umaarufu katika kufanya mikutano takriban mikoa yote Tanzania kwa muda mrefu sasa.

Leo hii nikiwa kama mdau wa JF ninamuona Mahubiri wa Mungu Pastor Tony Kapola anaenda kurithi kiti cha Mwalimu.

WanaJF naombeni mmtie moyo, msimkatishe tamaa kwa kumsema.
Kuna tofauti kubwa kati ya Mwalimu wa neno la Mungu na mshereheshaji
 
Habari.

Ikiwa Mwalimu wa neno wa muda mrefu Christopher Mwakasege amejizoelea umaarufu katika kufanya mikutano takriban mikoa yote Tanzania kwa muda mrefu sasa.

Leo hii nikiwa kama mdau wa JF ninamuona Mahubiri wa Mungu Pastor Tony Kapola anaenda kurithi kiti cha Mwalimu.

WanaJF naombeni mmtie moyo, msimkatishe tamaa kwa kumsema.
Ukiona mtu anajilinganisha na mwingine,..keshafeli tayari.
 
Back
Top Bottom