Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

Bwana Yesu Asifiwe?!

Jamani nampendaga sana Mtumishi wa Mungu Christopher Mwakasege

Kwanza hana Scandals

Pili anampenda Mungu kikweli kweli

Tatu hana mafundisho ya uongo..

Nne hajawahi kuchuja tangu nipo mdogo miaka 5 naenda kwenye mahubiri yake anakuja kuhubiri pale Upanga Mtaani kwetu Lugalo... mpaka leo alafu yupo hivyo hivyo!

Alafu huyu baba hazeeki jamaa doh ... kila siku yupo hivyo hivyo kama Malaika

Watumishi wengine wangejifunza toka kwa huyu Baba siri ya kumtumikia Mungu

Mungu Akubariki sana Mtumishi wa Mungu na Mwalimu Christopher Mwakasege.. AMEN
Umeamua kujivika nafasi ya kuamua nani mtumishi wa Mungu na nani mtumishi wa shetani..!

Elewa kitu kimoja upofu wako wa elimu ya dini ndiyo unakufanya ujione kama kuna watu wameumbwa special kumtumikia Mungu.

Natangaza nikiwa kifua mbele kutangaza kuwa mimi ni mkatoliki, na imani yangu ya kikatoliki natambua KUSUDI LA MUNGU NI KUTUUMBA NI HAYA:-

1: TUMJUE
2: TUMPENDE
3: TUMTUMIKIE

Sasa na ndiyo ujue kuwa kila mtu kaumbwa Mungu kwa makusudi maalum haya.
 
Wakristo wakitulia na kujifunza kuhusu imani yao, kamwe hawata kimbilia miujiza, sijui magari, utajiri na mengine kibao coz everything they chase are kept in the package of how well they have been grounded in the knowledge of their Leader, Jesus Christ and this is what makes Mwl Mwakasege exceptional. Anakufundisha, unaelewa, unajua wapi unakoea na sio kwenda kununua sijui maji mara mafuta.

Bible iko clear, watu wa Mungu 'wanaangamizwa' kwa kukosa maarifa, so some folks who call themselves sijui Prophets use this lack of knowledge to their advantage. Tukae chini tujifunze, all we need are in one package of knowledge which come as a result of being well taught na kuitumia positively knowledge uliyopata.

I really appreciate Mwl Christopher Mwasege amekua Baraka sana kwenye maisha yangu. God bless him sana.
 
Back
Top Bottom