KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,974
We naona hujui vizuri online Kuna mimbute gani kule..😂ukihack ni kushinda tuu
We naona hujui vizuri online Kuna mimbute gani kule..😂ukihack ni kushinda tuu
😂😂😂Mkuu itabidi nitafute gem na wewe... la online tuchezeMkuu online kunavichwa sio kucheza tu kule ni amsha ndugu..😅
🤣🤣🤣Pila birian watu wanapigiwa mkuuWe naona hujui vizuri online Kuna mimbute gani kule..😂
Timu yako inaitwaje..😂😂😂Mkuu itabidi nitafute gem na wewe... la online tucheze
Ana chura?
Jamaa hawaujui mziki wa onlineMkuu online kunavichwa sio kucheza tu kule ni amsha ndugu..[emoji28]
Ww jamaa una kelele sana[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pila birian watu wanapigiwa mkuu
Huyu akija Kama kazoea hizo midebwedo anapiga magori kibao huku tutamnyoosha mpk aunge juhudi..😂Jamaa hawaujui mziki wa online
Wamekalili zile elite division[emoji851]
Sasa hayo ya kawaidaHuyu akija Kama kazoea hizo midebwedo anapiga magori kibao huku tutamnyoosha mpk aunge juhudi..[emoji23]
Yani nikicheza online halafu nikaja kucheza haya ya kawaida naona hakuna kitu kabisa..[emoji28]
🙄🙄🙄😂😂😂isije ikawa mwana kulifind mwana kuliget...Ww jamaa una kelele sana[emoji38]
Mkuu itabidi tulipige game 1
Ngoja niinstall tena maana nilikuwa niko busy na gangster vegasTimu yako inaitwaje..
[emoji23][emoji23][emoji23] na mpambanie kweli kweliNgoja tupambanie Unyumba mwema
[emoji23][emoji23][emoji23] na mpambanie kweli kweli
Nimekumiss sana wewe mpuuzi, siku hizi huna makeke tena paka mwitu wewe.Usinichafue kalio lako[emoji1787]
Mwisho upi?
Mwisho wa chereko chereko, mlisema hamuoi mbona kamuoa 😀Mwisho upi?
😂😂😂😂😂😂
Kama vipi acha nikuoe mimi mwenyewe. Liwalo na liweWewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho babu yangu
Nakusikiliza wewe