Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
ledada kuna ujumbe wako huku wahiii tena bado wa motooo.![]()
Ipo siku ntakufungulia uzi
ledada kuna ujumbe wako huku wahiii tena bado wa motooo.![]()
Usiogope hakuna dosari keshadata huyu hana pingamizi juu yako.. kamcheki mi Nile pilau ulete na wajomba dada yangu..😅Kaka angu naona unaninyooshea na kunipindishia mambo🤣🤣🤣
Ukiona hivyo ujue sijamwelewa mwathirika...My babuu,hutaki mkwe jamani🤣
Usisahau kunitagIpo siku ntakufungulia uzi
😅😅 Mchumba kaja wakati mzuri, kwani ushafanya shopping ya Christmas na mwaka mpya?Kumekucha na makucha yake.
😆😆😆😆ila weweAna chura?
Mkuu hebu tulia kwanza.Ipo siku ntakufungulia uzi
Mkuu hebu tulia kwanza.
Ushakunywa chai arif???




broo ivi upo kweliMchumba kaja wakati mzuri, kwani ushafanya shopping ya Christmas na mwaka mpya?
Nipo bro.broo ivi upo kweli
😊😊😊😊😊Achana na mke wangu nitakuotesha busha wewe Sharobaro La JF..
Kidding