mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,279
- 6,598
Weka kitu halafu tulia test mitambo kwanza. Hujafundwa!Tatizo hataki ya kiserikali
Weka kitu halafu tulia test mitambo kwanza. Hujafundwa!Tatizo hataki ya kiserikali
Kasema mama yake hawezi kubali yeye kubadili dini ivyo nikimueleza mama yake swala la dini ikishindikana bas naachana nao
Ndio nimeuliza mama ake ndio unamuoa… mwenye maamuzi ya mwisho ni yeye
Sikia hapo mnapotezeana muda hakunaga ndoa za dini tofauti za kusikiliziana na kama zipo basi Kuna uzungu uzungu kwa wahusikaa
Chapa lapa
Siku nyinginee kabla hujaanzisha mahusiano dini iwe kipengele cha kwanza
Sasa kama unalijua hilo umekuja kulialia nini humu kijana,unasumbuliwa na genye wewe,na ukikaa vibaya huyo mwanaume atakupeleka puta man up....kijana acha kulia ovyo na kuchosha watuHalafu
Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
Sasa kwa ufahamu wako mawazo ya mama na binti yake yatakuwa yametofautiana..? Kama kwamba hawapigi story kuzungumzia chamhimu we kula kwa urefu na kisha enda mwana kwenda au piga mimba tulia kaa pembeni hudumia tuNitaongea na mama yake kwanza kuus ilo la ndoa ya serikali akikubali sawa ila akichomoa ndo itakua imeishia hapo
Ndio nashangaa, unadhani ukimpata wa dini yako ndio utadumu kwenye ndoa la.Kumbe kuna watu bado mko serious na dini hivyo
Wewe naye, kazi kweli.yaani umkane Yesu Kristo, ukaogeshwe maji uitwe jina la nini? hiyo laana utakufa nayo. dhambi ya kwanza ambayo wanadamu watahukumiwa ni kumkana Yesu Kristo, huko unakofikiria kwenda wao wamekataa Uungu wa Yesu Kristo ambaye alifanyika mwili kwaajili ya kufanyika kafara la wokovu wetu. huwezi kumwona Mungu bila imani ya aina hii na ukiiikana umejiandikisha jina la kwenda jehanum milele.
Kwa hiyo unataka yeye ndio abadili dini yake? Ni vigumu kwako lakini unaona ni jambo rahisi kwake?Halafu
Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
Kakwambia nani? Kwa sheria gani? Umesoma wapi hilo?Mwanamke siku zote hana dini
Fungeni ndoa ya kiserikaliHabari wana JF,
Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?
Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Hiyo mind game ni wote wawili sio mwanamke tu. Wote wanajua kuwa kuna ugumu kwa mwenza wake kubadili dini, solution ni kuachana tu. To be honest ni kwa nini wamekuwa pamoja moda wote huu mpaka kutaka kuoana ilhali wakijua kila mmoja ana strong feeling na dini yake? Walikuwa wanategemea kitokee nini hasa toka siku ya awali ya kuanza mahusiano yao?Kama kubadili hataki na ndoa ya kiserikali hataki huyo hakupendi/haitaji ndoa nawe na ameshalijua hilo ndio maana anataka ubadili wewe(mind game), jambo ambalo anajua wewe huwezi kufanya.
Sasa kwa ufahamu wako mawazo ya mama na binti yake yatakuwa yametofautiana..? Kama kwamba hawapigi story kuzungumzia chamhimu we kula kwa urefu na kisha enda mwana kwenda au piga mimba tulia kaa pembeni hudumia tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hiyo mind game ni wote wawili sio mwanamke tu. Wote wanajua kuwa kuna ugumu kwa mwenza wake kubadili dini, solution ni kuachana tu. To be honest ni kwa nini wamekuwa pamoja moda wote huu mpaka kutaka kuoana ilhali wakijua kila mmoja ana strong feeling na dini yake? Walikuwa wanategemea kitokee nini hasa toka siku ya awali ya kuanza mahusiano yao?
Safi sana mkaushie kwa muda kwanza, huku ukiponya maumivu najua inauma kumuondoa mtu unaempenda....ndani ya huo muda utamjua vizuri nje ya mambo ambayo ulikua hujui...hivyo kaa nje ya uwanja kwanza soma mchezo mdogo wanguLengo la kuja humu sio kulialia bali nilitaka kujua labda kuna option nyingne tofauti na ya kuachana mimi na mwenzangu na kupitia maoni ya wadau humu jibu sahii ni kuachana na ilo zoezi nimelifanya jana tayari kwaiyo nawashukuru wote kaka zangu na dada zangu kwa mchango wenu
Safi sana mkaushie kwa muda kwanza, huku ukiponya maumivu najua inauma kumuondoa mtu unaempenda....ndani ya huo muda utamjua vizuri nje ya mambo ambayo ulikua hujui...hivyo kaa nje ya uwanja kwanza soma mchezo mdogo wangu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nikwambie ukweli hapa ni watu wachache ambao wanaweza kubadili dini zao kwa sababu ya mapenzi. Wanaoweza kufanya hivyo wanakuwa toka mwanzo hawako serious na dini zao na wana wasi wasi na mafunzo ya dini zao. Kumkuta mkristo au muislamu ambae alikuwa yuko dedicated na dini yake maisha yake yote halafu utegeme kuwa atabadili dini kwa sababu ya penzi tu ni vigumu sana tu.Mda wote huo nilidhan atabadili yeye mahna kwa namna tulivyoanza mausiano yeye ndo alianza ishara za kuniitaji kwaiyo nilidhani upendo wake ni halisi ata tabia zake pia niliona hazina mashaka ndiomana nikamzingatia i was wrong
Nikwambie ukweli hapa ni watu wachache ambao wanaweza kubadili dini zao kwa sababu ya mapenzi. Wanaoweza kufanya hivyo wanakuwa toka mwanzo hawako serious na dini zao na wana wasi wasi na mafunzo ya dini zao. Kumkuta mkristo au muislamu ambae alikuwa yuko dedicated na dini yake maisha yake yote halafu utegeme kuwa atabadili dini kwa sababu ya penzi tu ni vigumu sana tu.
Nipe mimi muislam mwenzieHabari wana JF,
Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?
Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.