Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,960
- 15,500
Hizi dini mlizoletewa na mabeberu wa kizungu na kiarabu sasa zinawakosesha wapenzi, dini zote ni ubaguzi mtupu, mungu hajaleta dini za kina Mwamposa au boko haram, acheni huu ujinga unaoitwa dini