Nimekua nikimuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini kama yeye hataki kubadili dini amekataa

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
1,647
2,000
Nimekua mwenye mahusiano na binti mmoja kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Yeye anadini tofauti na yangu. Suala hili la dini limekuwa changamoto kwa sababu yeye hataki kubadili dini kunifuata na mimi pia siwezi kubadili dini. Yeye binti anaonekana ananipenda ila dini ndio changamoto.
Nimekua nikimuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini kama yeye hataki kubadili dini amekataa. Kiukweli sitaki tupotezeane muda, ndio maana huwa namuuliza mara kwa mara ili kujiridhisha ili nisipoteze muda wangu kwa kitu ambacho baadae hakitafanikiwa.Mie ni Muislam yeye ni Mkristo(mlokole) . Sasa nifanyeje ili niisolve case hii??, sitaki kumuumiza moyo kwenye maamuz yangu. Nataka niwe najibu maalum ili nijue hatima ya mahusiano yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pako 031

Member
Jan 7, 2019
7
45

Katka swala Zima la iman za kidini haziwez ingilia mahusiano ukwel nikwamba Kama unampenda au yeye ankupenda ila din ndo kizuiz mnaweza kuoana hivyo hivyo mbn wapo watu wameoan n pia wapo kweny ndoa but wanadini tofaut....... Ko swala ni mkubliano Kat yenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom